Baada ya Ole Nasha kufariki ni wakati wa Mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuwa wazi

Baada ya Ole Nasha kufariki ni wakati wa Mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuwa wazi

Nadhani wewe ni mropokaji mkubwa sana na ni hatari kwa taifa hili...Uhuru umekuwepo TZ kwa muda mrefu mno...hata kipindi Cha miaka mitano iliyopita Uhuru ulikuwelo Tena mkubwa kabisa...mitandao ilikuwepo na wapinzani walikuwepo na kauli zao.
Eti watch out!!!..Wewe Una fwata mkumbo wakati hata Mama Samia aliweka wazi tulipitia wakati mgumu akaenda mbali kusema tusamehane na kukubali tuliteleza wewe hujui chochote !!..Beberu ndio anakupa madawa,Elimu na makazi Bora, Nguo alafu nini?!!...

Tulikua sehemu Ngumu hili liko wazi sana!!.. Unadhani ilikua Sawa mtu kuchukua Marafiki zake kuwapa ubunge bila ridhaa ya Wajumbe wa Chama,Je Daraj la Ubungo kulikua na haja Gani kulipa jina la Rafiki yake!!..Au kule Burigi wanyama wapo?!!..
 
Magufuli alijua Bongo viazi mviringo wapo wengi sana ndio maana hata alipodai kuokota vichwa vya treni bandarini bado walishangilia, Bongo raha sana.[emoji23][emoji23][emoji23]
Aliokota Hadi Ambulance unafanya mchezo!!...
 
Lindeni Rasilimali zenu kwa kuweka maendeleo kwenu.

Sasa wewe fikiria kwa sasa content context nchini ni Ubaguzi uliokaa kikanda.
Hii ina maana kuna mvunjiko.

Watanzania tumeungana vizuri kwa sasa.
Tunachoweza kudumisha ni Upendo tulionao nchini ila Ukanda tunaweza kuukuza tu kwa sababu hao wanaowakera wanataka wanalinda ukanda.

Amin Amin nawaambieni Tanganyika itakuja kufufuka na itakuwa Tanganyika yenye majimbo imara yanayojitegemea yanayokumbatikwa na Serikali ya Tanganyika.
Kwa muundo kama zilivyokuwa Cooperative Unions zilizoletwa na Mwalimu Nyerere zikafikia mahali kuwa na sura ya mamlaka au tawala ya jimbo mpaka Uzuri (kuimarika kwake) wake ukamtisha mwalimu akayavunja tena.

Watu wa pwani na wazanzibar wanalijua hili miaka mingi na ndio maana kupitia Chama cha Mapinduzi ya Zanzibar siku zote uimara wake hujengwa na watu wa pwani!

Naam Endeleeni kuwaita SUKUMA GANG wote wanaotoa maoni kinzani kwa miradi inayoelekezwa ukanda mmoja wa pwani.

Hongera kwa aliyeelewa!
 
Wewe una level gani ya uelewa? Unataka kila mtu akubali kila uongo na uzushi unaozushwa kila akifa mtu basi huyo mtu kauliwa ili kina fulani wafanye ufisadi,je waliokufa wakati wa yule Bedui nao tusemeje? Usinipangie cha kuandika humu.
Ujinga huondoka pindi unapokubali kuwa mwanafunzi

unataka kuendelea kuwa mjinga siyo?
 
Lindeni Rasilimali zenu kwa kuweka maendeleo kwenu.

Sasa wewe fikiria kwa sasa content context nchini ni Ubaguzi uliokaa kikanda.
Hii ina maana kuna mvunjiko.

Watanzania tumeungana vizuri kwa sasa.
Tunachoweza kudumisha ni Upendo tulionao nchini ila Ukanda tunaweza kuukuza tu kwa sababu hao wanaowakera wanataka wanalinda ukanda.

Amin Amin nawaambieni Tanganyika itakuja kufufuka na itakuwa Tanganyika yenye majimbo imara yanayojitegemea yanayokumbatikwa na Serikali ya Tanganyika.
Kwa muundo kama zilivyokuwa Cooperative Unions zilizoletwa na Mwalimu Nyerere zikafikia mahali kuwa na sura ya mamlaka au tawala ya jimbo mpaka Uzuri (kuimarika kwake) wake ukamtisha mwalimu akayavunja tena.

Watu wa pwani na wazanzibar wanalijua hili miaka mingi na ndio maana kupitia Chama cha Mapinduzi ya Zanzibar siku zote uimara wake hujengwa na watu wa pwani!

Naam Endeleeni kuwaita SUKUMA GANG wote wanaotoa maoni kinzani kwa miradi inayoelekezwa ukanda mmoja wa pwani.

Hongera kwa aliyeelewa!
Katafute video za mwendazake za nyuma zisikilize kwa umakini halafu urudi na hoja yako....tushukuru mungu hakufika miaka 10.
 
Duh...sawa..nilale iwe nini...a tyiipical Tanzanian...kulala na shemeji yako ndiyo mwa fikra zako...
 
Duh...sawa..nilale iwe nini...a tyiipical Tanzanian...kulala na shemeji yako ndiyo mwa fikra zako...
Ni jinsi unavyo jaribu kutetea mambo ya ajabu wakati Mama alisema tusamehane!!..Wewe ulikua Huru kuliko Makamu wa Raisi na Baraza la Mawaziri au Wabunge!!!..Wewe yawezekana sio Mtanzania!!..
 
Sasa hivi mnaangaika sana mnazusha kila uongo ili muhalalishe mnachokizua hii haisaidii chochote zaidi ya kuchonganisha watu, halafu ebu weka angalau ile mikataba ya ununuzi wa ndege na ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato uliyowahi kuoneshwa na yule bwana wenu mnayempiginia wacha mikataba mingine iliyoingiwa na huyo mnayemuabudu na kumuona ni Mungu mtu halafu ndio mdai hiyo mingine.
Sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe. Hivi unaweza kulinganisha mikataba ya manunuzi ya ndege na ujenxi wa bandari?

Basi tusene wanunuzi wa ndege walikula 30% na hawa wa bandari hawajala kitu;. Kati ya hai wawili unadhani nani anatutia hasara.

Ndege ni zetu hata kama kuna watu waliku;a cha juu lakini bandari sio yetu kea miaka 99. Hata wajukuu zako hawataifaidi hiyo.
 
Katafute video za mwendazake za nyuma zisikilize kwa umakini halafu urudi na hoja yako....tushukuru mungu hakufika miaka 10.
Sina haja hiyo ya videos alizoongea mmoja aliyepata fursa ya kufidia kwa kuwa msingi wa idea yangu hauendani na umagufuli.
Unalenga kuondoa dhana ya ubaguzi wa kimaendeleo toka enzi za Nyerere kwenye matokeo ya Cooperative Unions na kuangushwa kwazo.

Nawasihi wote msimtetee mtu kwa mahaba nae bali Lindeni rasilimali zenu.
Fikiria kule Geita mjini hawana stand na hawana hata uwanja wa mpira wa kisasa na dhahabu zote zile kupitia Mwekezaji GGM. Kweli huko ndio kulinda rasilimali zenu? Subiri mgawanyiko wa majimbo uje utimie ndio wale wa Geita watajua hawakulinda rasilimali zao. Kadhalika wale wa Musoma, Kilimanjaro (mount Kilimanajaro) na Mtwara, Iringa na Saohill yao! Itaisha
 
Duh...sawa..nilale iwe nini...A Tanzanian...kulala na shemeji yako ndiyo mwisho mwa fikra zako...yaaani issues za maana wewe fikra zako ni kulala na mke duh...
 
Back
Top Bottom