Baada ya pesa/mali, ni kivutio au kigezo kipi kinachofuatia pale mwanamke anapomuangalia mwanaume?

Nadhani wanawake wengi nje na pesa/mali wanavutiwa na sura,utanashati na swaggz za wanaume. Sisi wenye sura za babu huwa tunakoma.
 
Nadhani wanawake wengi nje na pesa/mali wanavutiwa na sura,utanashati na swaggz za wanaume. Sisi wenye sura za babu huwa tunakoma.
 
Wanakuja kusema “tall & dark guys”

Ongeza hapo sauti & usafi..
Mimi sijawahi kuwa na pesa na sijawahi kusumbuliwa na watoto wazuri. Sijui vijana wa siku hizi wanakwama wapi?
 
Wanakuja kusema “tall & dark guys”

Ongeza hapo sauti & usafi..
Akishakuwa na pesa anakuwa tall, dark and handsome hata kama yuko kama kitunguu swaumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…