ArtificialIntelligence
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 377
- 734
Wewe unataka wachukuliwe hatua gani mkuu, wanao shitakiwa kila siku sio ndio hao mnao watetea kuwaita ni wanaharakati mnasema wanapewa/ wanabambikiwa kesi?Hao unaosema walikuwa wanafanya wizi, ubadhirifu wamechukuliwa hatua gani hadi sasa?
Alituambia majizi yamehamia upinzani, mbona hakuyachukulia hatua? yamerudi na akayapokea sasa yupo nayo ccm.
Wakati watu wanamiliki nyumba 70 na majiaba ya pesa ndani (wakina masamaki ) hao takukuru unaosema walikuwepo walikuwa wanafanya kazi gani.?Dam55 TAKUKURU ilikuwepo tangu enzi za Mkapa na wamekuwa wakitimiza wajibu wao kama kawaida. Tofauti ni kwamba hivi sasa matangazo yamekuzwa mno!
Brg. Mbungo Chamwino na Mpwapwa zipo mkoani Dodoma na siyo jijini Dodoma. Makosa madogo kama haya yanaweza kushusha hadhi ya barua yako na wewe mwenyewe pia.
Duu kudharirishana huko jamani!Rais wangu huyu jamaa hataki mchezo,yule jamaa mkuu wa takukuru kaambiwa "simama wewe na tumbo lako kubwa,ndo mana mnene mnene hivi"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo Jamaa ana deni kubwa sana kwa wanae leo 😂😂😂
Wanatia aibu sana hawa,hawa si ambao vyeti vyao havikukaguliwa.Hawezi kufanya kazi yake mpaka agombezwe na kudhalilishwa hadharani?
Kwani sahivi Hao watu wanao piga hawapo....We unafikiri zile jeuri za unanijua mimi nani zilikuwa zinatokana na nini mkuu?
Ilifika wakati wakati mtu anaajiriwa lakini ndani ya miaka 4 ana mali za milioni 150 na mshahara wake ni milioni 1 kwa mwezi
Kalia kufikiria hivyo hivyoUpigaji umepungua sana awamu hii
Kwani umesikia Masamaki amefungwa au kuadhibiwa kwa cho chote.Wakati watu wanamiliki nyumba 70 na majiaba ya pesa ndani (wakina masamaki ) hao takukuru unaosema walikuwepo walikuwa wanafanya kazi gani.?
Kitu ambacho watu wanashindwa kuelewa ni kuwa Magufuli na Majaliwa wanaweza wakaona wamejenga kwa gharama ndogo wakasahau vitu vingi wanavyopewa bure kama baadhi ya vifaa vya ujenzi na pia baadhi ya watumishi wa umma kufanya kazi bila malipo. Vyote hivyo vinafanywa na wafanya biashara na watumishi kwa kujipendekeza.Sasa nyumba ya milioni 60 au 40 mbona ndogo na ya kawaida sana jamani duh
Hapo nao wamezidisha chumvi
Ilikuwa Vp Yule Jamaa AkatelezaKama alimiliki Nyumba 70 then ikawaje huyo jamaa Masamaki akaachiwa huru hakuna cha kesi wala kwenda kumalizana na DPP.
HaaKitu ambacho watu wanashindwa kuelewa ni kuwa Magufuli na Majaliwa wanaweza wakaona wamejenga kwa gharama ndogo wakasahau vitu vingi wanavyopewa bure kama baadhi ya vifaa vya ujenzi na pia baadhi ya watumishi wa umma kufanya kazi bila malipo. Vyote hivyo vinafanywa na wafanya biashara na watumishi kwa kujipendekeza.
AliachiwaKwani umesikia Masamaki amefungwa au kuadhibiwa kwa cho chote.
Brigadier ame amua ku grab attention tu ila sidhani kama dhamira yake ni ya dhati kabisa yakufatilia huo upigaji apo naona kama mlinda ugali tu, Hapo ilipaswa afukuze mwizi kimya kimya na kwa vile nae ana clearance kubwa ya kumuona Mkulu basi ilipaswa aandae tu report then aibuke nayo state house na file lake kumueleza mkuu madudu na hatua alizochukua BTW kuna hujuma sana baada ya hawa wanajeshi kupewa hivi vyeo kwenye hizi taasisi mana seniors wengi wanahisi wao hawaminiki ndio mana wanaletewa Wanajeshi kulead taasisi wengine tayari walikuwa kwenye mategemo ya kuwa promoted angalia hata magereza Japo CGP yupo active sana ila figisu pia zipo ili kuwachafua ukiangalia hata hii mishe ya Takukuru utaona kabisa kuwa watu wa chini yake ndio wamemuingiza chaka Brigadier MbugoTatizo ni nini? Rais kashaona ''upigaji'' kwenye ujenzi wa nyumba TAKUKURU, kaona kwa macho lakini pia ameona kupitia taarifa za kitaalam kutoka vyombo vya kiserikali. Nyiye TAKUKURU mnaunda Tume kuchunguza. Mnachunguza nini? ningekuwa mimi labda ikilazimu ningeunda tume kwa siri ichunguze ni kiasi gani kimepigwa. Nikashabaini hilo, nachukua hatua kwa watendaji wangu kisha naenda kwa Rais namweleza kuwa ''Mheshimiwa ulikuwa sahihi siku ile kuniwakia, ukweli ni kuwa Tsh ........zimepigwa pale na tayari nimeshachukua hatua hizi..................
Tafuteni washauri wazuri wa kuwasaidia namna ya kudeal na haya mambo. Pia jitahidini sana kumwelewa Rais.
Wewe pia wa ajabu.. Ni Suala na Sio SWALAuandishi wa hiyo barua kama sio sawa imetazama zaini nafasi ya kwanza ya mtu sio organization wakati mwingine makatibu wajaribu kuwasaidia. (si swala na nime...ime..nimeeeee.....
Wewe pia wa ajabu.. Ni Suala na Sio SWALA
Teh teh achana na lugha kabisa Bora hesabu rahisi 0-9 lakini kupanga A-Z so mchezo
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Mheshimiwa Rais Nakupongeza sana jinsi unavowawajibisha watu wanaotafuna mali ya uma.TAKUKURU NG'ATA...
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbung'o, amewasimamisha kazi watumishi 9, ambao walihusika katika ujenzi na usimamizi wa majengo Saba ya Taasisi hiyo yaliyojengwa Chamwino, Mpwapwa, Ngorongoro, Manyoni, Masasi, Namtumbo na Ruangwa.
=====
Hapo jana katika Uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU-Chamwino) uliofanyika Jijini Dodoma, Rais Magufuli alisema jengo hilo halikuwa la yeye kwenda kufungua lakini pia gharama iliyotumika katika ujenzi ni ya juu sana.
Alisema Waziri Mkuu alimwambia nyumba hiyo yeye angejenga wa Milioni 60 huku Rais Magufuli mwenyewe akisema amejenga nyumba yenye ukubwa kama huo huko kwao kwa Milioni 40
Pia soma:
Ujenzi: Je, hii nyumba ya TAKUKURU Dodoma inafikia thamani tajwa ya Tsh. 143 milioni?
Rais hajafurahishwa na jengo la TAKUKURU
Huyo aliyekuwa amekaa hapo ... katoka eeee