gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Soma uelewe kabla hujajibu. Kwa hiyo kabla ya awamu hapakuwahi kuwa na mifumo ya kudhibiti wizi.Acha uongo mkuu usitufanye watoto hapa mifumo ipi ya kuzuia wizi iliyokuwepo kwenye awamu zilizo pita wewe? Si ndio hizo zama hadi Twiga wanakanatiwa uwanjani wanasafilishwa wazima wazima au sio wao mkuu?
Suala la kutimiza wajibu ama kutotimiza ni jambo jingine ila nnacho sisitiza ni kuwa mifumo ilikuwepo ilikuwa ni suala la kuiimarisha sio kuleta one man show.