Baada ya Rais Samia kufungua soko la nyama falme za Kiarabu. Je, wanaopuuza zoezi la uwekaji hereni mifugo ni wasaliti wa Rais aliyewateua?

Usishangae soko hilo limefunguliwa kwa ajiri ya nyama ya pori, Samahani lakini
 
Mambo fikirishi
 
Swala la kuweka hereni ni la kitaifa na linaendelea,sehemu nyingine inawezekana mafungu ya kufanyia hiyo kazi hayajafika lakini wakishapatiwa pesa kila kitu kitakaa sawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…