Upinzani si kuwa CHADEMA, CUF, ACT, TLPChadema tuliwaonya humu jamii forum
Tukatukanwa kila aina ya Matusi,matusi ya chadema huniharibia mudi ya kuchangia
Wawakamate kwa kosa ganiSio utani watawakamata tu,Hii siyo Bongo movie ni katika juhudi za kuunga Makonda kwa mwendo wa fang fang.
Hah hah hah. Sasa wameacha kupambana na corona wanapambana na CHADEMA. Nchi ya ajabu sana hii!Chadema tuliwaonya humu jamii forum
Tukatukanwa kila aina ya Matusi,matusi ya chadema huniharibia mudi ya kuchangia
Watashtakiwa kwa kosa gani mm ndy nasubiria hapoChadema kwa kuvunja sheria hawajambo
Utawala mwingine huu, lolote laweza tokea
Nawapongeza polisi wakamateni haraka wameiba pesa za walipa kodi bungeni za vikao wakati vikao vyenyewe hawajakaa wakamateni wafungulieni kesi za uhujumu uchumi hizo pesa walizochukua bila kuwa bungeni zingetumika kufufua uchumi