Kwahiyo kuitwa kuhojiwa ndo kuhukumiwa??Chadema tuliwaonya humu jamii forum
Tukatukanwa kila aina ya Matusi,matusi ya chadema huniharibia mudi ya kuchangia
Wewe uliwaona wanazurura mitaa ganiMakosa yao
1 wameramba posho halafu wametoroka bungeni
2 wamewadanganya wapiga kura kuwa wanajiweka karantini kumbe wanazurura mitaani na kukesha mabar
Unajuaje kama spika hajawaandikia barua ya hao wabunge kujamatwa baada ya kuona with wake Wa wao kurejesha fedha hawajaitikia na hawajulikani waliko sababu vikao bungeni hawaonekani na wanetoroka na pesa za bunge unataka apige kelele kuwa kawaandikia polisi wawakamateOk.. kutokana na hilo la wizi wa fedha amri ya kukamatwa kwa hao wabunge inatakiwa utoke kwa mkuu wa mkoa au kwa spika?
Sina tatzo na suala la spika kudai hzo fedha na ukumbuke spika kadai fedha zirudishwe kwa maana hiyo panamuda wa wao kuzirudisha hizo fedha na sizan km kawaamuru warudi bungeni sasa makonda anaingilia km nani. Na je km anaamini wabunge hapo wanasambaza korona hv limitation za watu kutembea kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine zinabagua coz dar inapokea maelfu ya wasafiri kutoka mikoani.Unajuaje kama spika hajawaandikia barua ya hao wabunge kujamatwa baada ya kuona with wake Wa wao kurejesha fedha hawajaitikia na hawajulikani waliko sababu vikao bungeni hawaonekani na wanetoroka na pesa za bunge unataka apige kelele kuwa kawaandikia polisi wawakamate
Unataka spika akupe nakala ya barua Wewe kama Nani?
Mitaani
Kongwa? Kwanini kusiwe na maendeleo hata Kama chadema haipo,kwani serikali inatekeleza ilani ya chadema au ya CCM? Ilani ya CCM ndio inayotumika sio kongwa tu hata Jimbo la HAI, na chadema iwepo isiwepo hakuna kinachozidi Wala kupungua, halafu chadema haionewi ila inatafuta kiki zisizo na faida utavunja vipi Sheria halafu usichukuliwe hatua kisa tu wewe ni chadema? View attachment 1442959
Hayo ni maswala binafsi kwani hujayaona ya mbowe na Joyce mukya?
Unajuaje kama spika hajawaandikia barua ya hao wabunge kujamatwa baada ya kuona with wake Wa wao kurejesha fedha hawajaitikia na hawajulikani waliko sababu vikao bungeni hawaonekani na wanetoroka na pesa za bunge unataka apige kelele kuwa kawaandikia polisi wawakamate
Unataka spika akupe nakala ya barua Wewe kama Nani?
Hayo ni maswala binafsi kwani hujayaona ya mbowe na Joyce mukya?
Huyu ndio alikuwa mpinzani wa kweli alivyoona lowasa kauziwa chama akaamua akae pembeni,hajatokea Tena mpinzani Kama yeye mpaka Sasa
Jeshi la kipuuzi kuliko lile la makaburu wa Bother South Afrika.Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka wale ambao bado hawajaondoka, kuripoti kwa hiyari yao katika ofisi ya Upelelezi, Kanda Maalum kwa mahojiano
View attachment 1442715
ACP mpuuzi kuwahi kutokea. Yaani watu wanafanya mambo kama wanaendesha territory ya drug dealerJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka wale ambao bado hawajaondoka, kuripoti kwa hiyari yao katika ofisi ya Upelelezi, Kanda Maalum kwa mahojiano
View attachment 1442715