PostGE2025 Baada ya Saa 24 Redcross watamuunga mkono Agustino Polepole kugeuza mawe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyo Maria mwenyewe atakuwa na nini ? Kifaru au Inter-Continental Missile ?
 
NAOMBA HII IWEKWE JUU KAMA UZI
 

THIS TIME HATUTOKI KIBOYA WEWEEE!polisi atakayerusha risasi moja tuuu huyo atakuwa ameamua kuchoma nchi yake mwenyewe!HAKIKA TUTAGAWANA MBAO😔😔😔
 
Mkuu hatununui uoga,kama ni kuua watanzania wote tuueni D9.

Nakama wewe una uhakika wa kuishi miaka 1000 jitokeze utuue waandamanaji
Wewe fanya unachofanya kama unategemea mimi au mwingine ndio akuamulie cha kufanya basi pole sana....;

By the way nashangaa unaongelea kufa alafu bado mzima, unless hili jibu unalitoa kutoka kuzimu - Huwezi ukachukulia maisha kirahisi rahisi unless ni maisha yako binafsi na sio ya mwingine - unless una traits za psychopathy
 
Ndio Mimi psychopath kama Samia alivyo
 
Huna lolote. Mtu unatumia anonymous name bado unasema kuna code unaogopa kuiandika. Nyambaaaaf
Ukiitajika utolee ufafanuzi ndipo utajua ni anonymous au gete gete...

NB. Humu Jf usizanie ni hapo kijijini kwenu..for your information Jf ni limashine LIKUUBWAAA... Rule to remember.. remember rule #1
 
Oya mambo hayo ndio hatuyataki hapa. Kama hukutaka kuisema hiyo code hapa ungepiga zako kimya. Au unataka uanze bembelezwa ili useme?? Hizo pigo za kiwaki. Unataka kushea code weka hapa, hutaki piga zako kimya wacha uzi utembee.
Fanya Yako..acha na Mimi nifanye yangu.

NB. Tusiponzane
 
Hivi unajua wanajeshi 15 na asikari 89 wamekufa?

Hivi unajua wanajeshi 12 Kati ya 15 wamezikwa Zanzibar maana yake Ni wazanzibar?

Hivi unajua kmkm 45 wanashikiliwa mpaka sasa kwa mauaji yaliyofanyika ?

Hivi unajua wanajeshi 18 wa Uganda na Zimbabwe wamekufa?

Hivi unajua sasahivi 75% ya police na wanajeshi wameikataa hii serikali baada ya mauaji?

Hivi unajua kwamba Kama Jambo litasubiliwa mpaka D9 Hali itakuwa mbaya Sana kwa wahuni

Ndio maana ili kuepusha madhara tunatakiwa kumaliza nao kabla ya maandamano ili kuokoa watu wasife Kama mwanzo

Na ndio plan ya vyombo vya usalama!

Wahuni wote kazi wanayo wajipange lasivyo kinawalamba.
 
Duuuuh haya ni mapya Mkuu
Me sikuwa na taarifa nayo
Japo nàkuelewa mno
Umgeanzisha Uzi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…