PostGE2025 Baada ya Saa 24 Redcross watamuunga mkono Agustino Polepole kugeuza mawe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukiitajika utolee ufafanuzi ndipo utajua ni anonymous au gete gete...

NB. Humu Jf usizanie ni hapo kijijini kwenu..for your information Jf ni limashine LIKUUBWAAA... Rule to remember.. remember rule #1
Huna lolote nyeti
 
😹😹😹😹 Mecheka sana!!
 
Hii code ya Red Cross ulianza kuiongelea hata kabla ya October 29 lakini ki ukweli binafsi mpaka Sasa bado sijaielewa..
"Redcross" ni Kina nani??
 
Watanzania wenzangu nunueni mahitaji. Polepole mkubwa analiamsha dude kesho.

Hivi unadhani kichwa cha Kikwete kikikatwa kesho, tutaendelea kutoka nje??
Waliamshe tu. Nchi ilikua imepoa sana, yaani napitia madaftari ya history ya madogo wa form 3. Notes ni zile zile nilizosoma mimi miaka 18 iliyopita. Hakuna kilichoongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…