PostGE2025 Baada ya Saa 24 Redcross watamuunga mkono Agustino Polepole kugeuza mawe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Waliamshe tu. Nchi ilikua imepoa sana, yaani napitia madaftari ya history ya madogo wa form 3. Notes ni zile zile nilizosoma mimi miaka 18 iliyopita. Hakuna kilichoongezeka
😁😁
 
Tunduma Songwe mbeya ndipo waliuawa Polisiccm wengi na kmkm waliua watu wengi mwanza mara Arusha na Dar kwani ndipo walielekezwa kwa wingi na mkuu wa mauaji Haji Omary kheri mshauri wa mama iddy Amin dada toka Zanzibar
 
Watanzania wenzangu nunueni mahitaji. Polepole mkubwa analiamsha dude kesho.

Hivi unadhani kichwa cha Kikwete kikikatwa kesho, tutaendelea kutoka nje??
Umenikumbusha muvi la Rambo inaitwa FIRST BLOOD NO 2

AUGUSTINE POLE POLE = RAMBO
 

Attachments

  • IMG-20251127-WA0005.jpg
    88.1 KB · Views: 17
Usi force tufanane?!

By the way mzima wewe..for your information ukiwa MWANAUME SIO KILA KITU NI CHA KUWEKA WAZI YAJAYO YANAFURAHISHA
😹😹😹 Mchiewwww!!
STOP kadi tatu, hiyo ni uongo..!!

Sasa unatumia fake id why usiweke hizo info km kweli unazo?!! 😺

Wewe manyau nyau hizo fix buanaa.!!
 
Huu uzi nimeusoma tangu jana, sijaambulia chochote. Redcross mnamaanisha nini?
 
Masaa 24 bado?? Mnaniuzi mimi kila siku naandaa jogoo wangu wa kufurahia af hamfanyi kitu 😭
Mimi nimeandaa pesa ya kunywa BLACK LABEL!

Tena nitaenda kuinywea POLICE MESS!
 
Reactions: naa
😹😹😹 Mchiewwww!!
STOP kadi tatu, hiyo ni uongo..!!

Sasa unatumia fake id why usiweke hizo info km kweli unazo?!! 😺

Wewe manyau nyau hizo fix buanaa.!!
Sisemi n'goo πŸ˜πŸ˜„

Iko ivii kwa kifupi sanaa..

Oktoba29
Disemba9
Januari1
Januari12
April26

Zinafuatana nakwambia ukweli Tu
 
😹😹😹 Mchiewwww!!
STOP kadi tatu, hiyo ni uongo..!!

Sasa unatumia fake id why usiweke hizo info km kweli unazo?!! 😺

Wewe manyau nyau hizo fix buanaa.!!
Sisemi n'goo πŸ˜πŸ˜„

Iko ivii kwa kifupi sanaa..

Oktoba29
Disemba9
Januari1
Januari12
April26

Zinafuatana nakwambia ukweli Tu
 
Mkuu kumbe upo? Sijakuona muda mpaka nikahisi nawe ni mmoja wa fallen heroes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…