Baada ya Safina ya Nuhu kutua Mlima Ararat, wanyama walifikaje kwenye mabara mengine?

Nimependa jina lako
 
Hii kitu nimewahi kuisikia na huwa inaniwazisha sana.
 
Nyie mnaosema theory ya Pangaea ina maana baada ya safina kutua mlima Ararat wale wanyama walitoka nje halafu huo mgawanyiko wa ardhi ukatokea na kila mnyama kujikuta yuko kwenye bara lake?
 
Hii chai.

Hivi unajuwa umbali wa kutoka Tanzania hadi Finland?

Hao ndege hawachoki?
Wamewezaje kuvuka bahari kuu?
Wamejuwaje kama hawa ndege wanatoka uyole Tanzania?
 
Mkuu hujuwahi kujiuliza kwamba 70% ya wanyama wanajuwa kuogelea by nature?

Pengine walisombwa na maji .
 
Kama walivyofika wanadamu KILA pembe ya Dunia ndivyo walivyofika wanyama pia.
Achana na story za mtu wa kwanza alipatikana Olduvai.Hizi ni za kutunga.
Mtu wa kwanza alitokea middle east
Kwahiyo Olduvai walikuta mabaki ya nyumbu na pofu wa ngorongoro..?

Leakey na mke wake ni matapeli
 
Enzi hizo bara lilikuwa moja (One major landmass known as Gondwanaland) kwa hiyo lilipojigawa (splitting through natural force) kila kipande (bara au kisiwa) kiliondoka na viumbe wake. Sehemu nyingine wanyama walipelekwa.
Pangaea sio godwanalanda(africa)

Wazee wa zwangendabaz wanajua
 
Unachanganya madesa mzee, what if usingefundishwa habari za pangea na blah blah zingine na mzungu, ungekuja na fact gani nyingine...?
 
Itakuwa hawakufa viumbe wote, wengine walipona wakazaliana
Mwanzo 6:7
[7]BWANA akasema, Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi; mwanadamu na mnyama, na kitambaacho na ndege wa angani; kwa maana naghairi ya kwamba nimewafanya.


Hakuna kiumbe kilichobaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…