Kuna kundi fulani la ndege wanapatikana UYOLE huwa majira fulani wanaenda FINLAND wanakaaa huko mda mrefu wanazaliana kisha majira fulani wanarudi uyole .wanasayansi wa kimazingira na viumbe hai bado wanafatilia kujua kwa nin ndege hao wanaenda finland na sio pengine na kwa nin wanarudi tz tena uyole tu? Kwa kifupi movement ya wanyama bado ni jambo la kushangaza kama swali la mtoa mada linavofikirisha..
At least tungekuwa na Waafrica ambao wameshafanya utafiti na kuona kweli bara letu ni kubwa.Hayo makumbusho ya huyo yesu wao(shetani) na baadhi ya shahid za uongo huko jerusalem feki ya middle east hayo mambo yalifadhiliwa na wazungu nayalikuwa planned kwa muda mrefu, kuanzia kutafuta best location ya kuundia taifa feki la israel, pia shahidi na mabaki feki ya mitume na manabii wa biblia, bila kusahau ramani na historia ya dunia kuforce iamni wanachokiamn wao, ndiomaana raman ORIGINAL ya dunia hii huwezi kupata na hutowai ipata maana wanajua sili hii, ikiwekwa ile raman in PUBLIC , hakika hakuna atakae kwenda shule tena, hakuna atakaefuata dini tena, hakuna atakae amini zile fake documentaries za NASA na wahuni wengine, maana kila kitu kitakuwa wazi kuanzia Muonekano Origanal wa dunia, muonekano wa Afrika kuwa kubwa kulko bara lolote lile, pia mfumo wa jua&mwez na nyota, bila kusahau kuhusu mzunguko wa jua, haya yote nadhani tulipigwa sana
kuna vitu vingine vinaitaji akili haviitaji roho mtakatifu ili uelewe. Ina maana unashindwa kutofautisha mwanzo 1 na 2? Kuwa mwanzo 1 ni summary ya mwanzo 2 had umuombe roho mtakatifu?Ukisoma Biblia kama novo itakusumbua sana. Sali kwanza uombe roho mtakatifu akuongoze katika kuielewa na kuitafakari.
La sivyo utahoji kila kitu.
Kwa mfano genesis 1.27 inasema Mungu aliumba mwanamme na mwanamke. Sasa jiulize huyu aliyetoka ubavuni siku za baadae baada ya Mungu kumwona mwanamme ni mpweke (genesis 2.18) alikua wa ngapi maana kwenye 1.27 alishaumba wawili!
Nani alibaki..?Mkuu YUPO aliyebaki, apart from Nuhu na familia yake!!
Kama ndie adam ilikuwaje SAsa middle east enzi za mitume wote kuwe na population kubwa Sana ikiwa centered na isiwe Afrika.Mtu wa kwanza Olduvai. Ndiye Adam
Mkuu wengine mpaka kisiwani kwetu Mafia kuna viboko, chatu nkTafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale?
Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?
Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
Hakuna uthibisho wa kimaandiko kwa mujibu wa vitabu vyote vitakatifu.Duuh..
Yaani mweusi angalau umepewa mtaji na mzungu mwenyewe kuwa wa kwanza ..lakini bado unajikana mwenyewe...
Kweli mweusi ngozi ya....
CCM hao!!!Mbona Simple tu, kwani hawa Twiga wetu walifikaje uarabuni.
oguNani alibaki..?
Bado mnaamini tu hadithi za abunuasi?
Hizi ni hadithi za kalumekengeBado mnaamini tu hadithi za abunuasi?
Mzee baba umelewaKama walivyofika wanadamu KILA pembe ya Dunia ndivyo walivyofika wanyama pia.
Achana na story za mtu wa kwanza alipatikana Olduvai.Hizi ni za kutunga.
Mtu wa kwanza alitokea middle east
We mzee usipende changanya scientific facts na habari zako za kubuni hiyo pangea inatokea ni miaka milioni nyingi kabla hata ya uwepo wa mamalWakati GHARIKA inatokea, hakukua na Mabara, kumbuka theory of continental drifting, wakati wa GHARIKA kulikua na Bara moja tu kubwa Super Continent, linaitwa PANGAEA, na proof ya hili angalia Madagasca, utaona imemeguka kutoka Pwani ya Msumbiji, na angalia South America, imemeguka kutoka Africa etc!
Umejibu kisomi zaidi. Asante MkuuKama walivyofika wanadamu KILA pembe ya Dunia ndivyo walivyofika wanyama pia.
Achana na story za mtu wa kwanza alipatikana Olduvai.Hizi ni za kutunga.
Mtu wa kwanza alitokea middle east
Ebu elezea ni kwajins gan kuzaliana kuliwawezesha kangaroo kutoka middle east wakaweza kuvuka bahari Zaid ya moja had Australia?kwa kuzaliana na kuwa wengi
Mfalme Ogu wa Annaki. Soma Mwanzo 13/14 utaona baada ya gharika tu tayari kuna mji mkubwa wa Wanefili ambao wanapigana na Mfalme Neodachlomer?!Nani alibaki..?
Ice age Ilitengeneza pathways mkuuEbu elezea ni kwajins gan kuzaliana kuliwawezesha kangaroo kutoka middle east wakaweza kuvuka bahari Zaid ya moja had Australia?
Simba,Tembo walifikaje Afrika na hakukuwa na darajaWa majini waliogelea
Wa angani walipaa
Wa ardhini walitembea na kutambaa