Baada ya Salum Hamduni wa PCCB 'kumtetea' na 'kumlinda' Paul Makonda, naomba nitume salamu za pole kwa wafuatao...

mkuu pole kwa mbunge wa CCM sumbawanga mjini
 
Pole sana kijana wewe uliokulia mtama usiku kwenye geti la mbayuwayu Makumbusho kesho tukaambiwa umekutwa umejinyonga😭😭😭
 
vyote viwili hivyo technologia na mungu hawaoni kosa kwa makondamtaendelea kukonda kwa roho zenu mbaya kazi inaendelea
 
Hivi hamjui uhusiano wa kutisha katika ya Makonda nayule mama wa ushungi? Mbona picha yao ilisambaa mitandaoni kitambo
Msitukere hadi sasa tukapandwa na Hasira na tukasema Mabaya ambayo Makonda alimfanyia Mama kwa ' Kumchongea ' kwa Hayati ' Babaake ' hadi Mama wa Watu akataka kuachia ngazi 2018 ila ' Busara ' za Rais Mstaafu Kikwete zilimtuliza japo Uhusiano wao uliendelea kuwa ni wa ' Kinafiki ' na ' Wasiwasi ' mpaka ilipofikia tarehe 17 Machi, 2021 pale kwa Mzena Makumbusho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…