Baada ya Salum Hamduni wa PCCB 'kumtetea' na 'kumlinda' Paul Makonda, naomba nitume salamu za pole kwa wafuatao...

oyaa popoma,
unamzungumzia ben saanane yupi?.

ni yule ambaye ulimletea dhihaka na ujuaji mwingi kwenye uzi wake wa tarehe 18 septemba 2016 alioandika kuhusu kutishiwa kutekwa na kuuwawa au unamzungumzia ben saanane mwingine?.

ujinga wako ulioundika kwenye uzi ule huu hapa. ningekuwa mimi ningefuta ili kutunza heshima.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Ogopa sana Mungu na teknolojia ya mzungu
 
1. Ben Saanane pole sana huko uliko.

2. Azory Gwanda pole sana huko uliko.

3. Binti Akwilina Akwilina pole sana huko uliko.

4. Clouds tv hasa hasa Marehemu Ruge na Watangazaji wa Shilawadu akina Soudy Brown na Kwisa, poleni sana.

5. Mwanamuziki Roma Mkatoliki pole sana.

6. Yusuf Mehboob Manji pole sana

7. Nape Nnauye pole sana Kukoswakoswa Kufumuliwa Ubongo wako Mubashara pale St. Peters Oysterbay.

8. Mo Dewji pole sana na zile Khanga zako mbichi zilizokupendeza pia.

9. Maiti zote zilizokutwa zikielea Coco Beach, Kawe Beach na Kunduchi Beach poleni huko mliko

10. Tundu Lissu pole sana

11. Uliyekuwa Mmoja wa Walinzi wa aliyeondoka tarehe 17 Machi, 2021 (sasa ni DSO) Wilaya Moja ambayo Mwezi huu kuna Baridi Kali pole sana kwa Kukoswakoswa Kuondoka duniani ukihusishwa kuwa Wewe ndiyo Yule Mbabe wa Twita.

12. Modestus Kipilimba (sasa Balozi) na Robert Msalika (RAS) Tabora nanyi pia Poleni sana.

13. Beach Kidimbwi nanyi poleni kwa Kudai chenu hadi Leo wakati Huduma yenu mlitoa vizuri tu na Mtu kusikia Utamu hadi akawa habanduki hapo.

14. Msio na Hatia yoyote ile lakini mkasingiziwa nanyi ni ' Drug Barons ' nchini Tanzania na hasa hasa Mkoani Dar es Salaam poleni sana.

15. Boss wa TSN Supermarket pole sana kwa Kulazimishwa kila Mwezi utoe Lita 3000 (Elfu Tatu) za bure kwa Gari ya Mtu.

16. Waandamizi wote wa TISS nanyi pia Poleni kwa zile ' Dossiers ' zenu kumhusu Mtu fulani na Matendo yake ' Hatarishi ' kwa Usalama na Ustawi wa nchi Kuchanwa na Kutupwa huku mkinyamazishwa na aliyenyamazishwa Kimoja na Israeli.

17. Poleni sana Waandishi wa Habari (hasa hasa wa Gazeti la Tanzania) Wewe uitwae Ibrahim Yamola (sasa upo Mwananchi Tabata) kama Chief Reporter kwa Misukosuko na Vitisho vya kutolewa hadi Uhai wako ulivyovipata.

18. Nawe Mtume Mwamposa pole sana kwa kila Mwezi kulazimishwa Kuchangia Tsh Milioni 10 za Maendeleo ya Mkoa wa Dar es Salaam ila ukawa unalazimishwa uiweke katika Akaunti Binafsi ya Mtu.

19. Pole sana Mzee Jaji Joseph Sinde Warioba kwa Kufanywa 'Punching Bag' na Mtu pale Blue Pearl Ubungo mwaka nimeusahau japo baadae ulitumiwa Meseji na mpaka ukapigiwa Simu kuwa Ukaushe (Uuchune ) na ikiwezekana umtetee kwa Nguvu zote kuwa hakukupiga.

20. Pole sana Ridhiwani Kikwete kwa Nyoka uliyemfuga Mwenyewe hatimaye alivyokuwa mkubwa akaanza 'Kukung'ata' na Wewe pia huku akikutisha 'Kukupukutisha' Utajiri wako na 'ukanywea' kweli kweli japo kwa sasa ni Mtu mwenye Furaha mno sijajua ni kwanini.

Popote pale alipo Salum Hamduni (Boss TAKUKURU) nifikishieni GENTAMYCINE salamu zangu za dhati kabisa Kwake kwa Kauli yake ila atambue tu ya kwamba Marehemu Ruge Mutahaba alituasa kuwa tukiwa hapa duniani tuogope sana Vitu Viwili tu Mwenyezi Mungu na Teknolojia ya Mzungu.
Kesi ipo palepale
 
Yana mwisho...
Mitaahi.ra nyie, mnaorodhesha watu hawafiki hata kumi, kwamba wao ni so special sio? hivi mnajua hao mabepari mfano Dewji tu kaua na kutesa watu wangapi? familia ngapi? mashamba makubwa alodhurumu watu Tanga bila kuyaendeleza na akawa anatumia kuchukulia mikopo kutoka mabenki makubwa nje ya nchi yaliumiza maelfu ya wananchi, MKIITWA MITAAHI.RA MJIONGEZE, mnapoteza muda, waTanzania wanajua.
 
Wapambane na Hali zao huyo Hamduni amlinde yeye Kama Nani? Watu wa maadili walikuwa wapi mpaka Makonda anakumbatia Mali nyingi hivyo wakati kila miezi 3 viongozi lazima wataje Mali zao hii haipo sawa vyombo vikae vipate muafaka wa pamoja
 
oyaa popoma,
unamzungumzia ben saanane yupi?.

ni yule ambaye ulimletea dhihaka na ujuaji mwingi kwenye uzi wake wa tarehe 18 septemba 2016 alioandika kuhusu kutishiwa kutekwa na kuuwawa au unamzungumzia ben saanane mwingine?.

ujinga wako ulioundika kwenye uzi ule huu hapa. ningekuwa mimi ningefuta ili kutunza heshima.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Muogope Mungu na teknolojia ~Ruge
 
1. Ben Saanane pole sana huko uliko.

2. Azory Gwanda pole sana huko uliko.

3. Binti Akwilina Akwilina pole sana huko uliko.

4. Clouds tv hasa hasa Marehemu Ruge na Watangazaji wa Shilawadu akina Soudy Brown na Kwisa, poleni sana.

5. Mwanamuziki Roma Mkatoliki pole sana.

6. Yusuf Mehboob Manji pole sana

7. Nape Nnauye pole sana Kukoswakoswa Kufumuliwa Ubongo wako Mubashara pale St. Peters Oysterbay.

8. Mo Dewji pole sana na zile Khanga zako mbichi zilizokupendeza pia.

9. Maiti zote zilizokutwa zikielea Coco Beach, Kawe Beach na Kunduchi Beach poleni huko mliko

10. Tundu Lissu pole sana

11. Uliyekuwa Mmoja wa Walinzi wa aliyeondoka tarehe 17 Machi, 2021 (sasa ni DSO) Wilaya Moja ambayo Mwezi huu kuna Baridi Kali pole sana kwa Kukoswakoswa Kuondoka duniani ukihusishwa kuwa Wewe ndiyo Yule Mbabe wa Twita.

12. Modestus Kipilimba (sasa Balozi) na Robert Msalika (RAS) Tabora nanyi pia Poleni sana.

13. Beach Kidimbwi nanyi poleni kwa Kudai chenu hadi Leo wakati Huduma yenu mlitoa vizuri tu na Mtu kusikia Utamu hadi akawa habanduki hapo.

14. Msio na Hatia yoyote ile lakini mkasingiziwa nanyi ni ' Drug Barons ' nchini Tanzania na hasa hasa Mkoani Dar es Salaam poleni sana.

15. Boss wa TSN Supermarket pole sana kwa Kulazimishwa kila Mwezi utoe Lita 3000 (Elfu Tatu) za bure kwa Gari ya Mtu.

16. Waandamizi wote wa TISS nanyi pia Poleni kwa zile ' Dossiers ' zenu kumhusu Mtu fulani na Matendo yake ' Hatarishi ' kwa Usalama na Ustawi wa nchi Kuchanwa na Kutupwa huku mkinyamazishwa na aliyenyamazishwa Kimoja na Israeli.

17. Poleni sana Waandishi wa Habari (hasa hasa wa Gazeti la Tanzania) Wewe uitwae Ibrahim Yamola (sasa upo Mwananchi Tabata) kama Chief Reporter kwa Misukosuko na Vitisho vya kutolewa hadi Uhai wako ulivyovipata.

18. Nawe Mtume Mwamposa pole sana kwa kila Mwezi kulazimishwa Kuchangia Tsh Milioni 10 za Maendeleo ya Mkoa wa Dar es Salaam ila ukawa unalazimishwa uiweke katika Akaunti Binafsi ya Mtu.

19. Pole sana Mzee Jaji Joseph Sinde Warioba kwa Kufanywa 'Punching Bag' na Mtu pale Blue Pearl Ubungo mwaka nimeusahau japo baadae ulitumiwa Meseji na mpaka ukapigiwa Simu kuwa Ukaushe (Uuchune ) na ikiwezekana umtetee kwa Nguvu zote kuwa hakukupiga.

20. Pole sana Ridhiwani Kikwete kwa Nyoka uliyemfuga Mwenyewe hatimaye alivyokuwa mkubwa akaanza 'Kukung'ata' na Wewe pia huku akikutisha 'Kukupukutisha' Utajiri wako na 'ukanywea' kweli kweli japo kwa sasa ni Mtu mwenye Furaha mno sijajua ni kwanini.

Popote pale alipo Salum Hamduni (Boss TAKUKURU) nifikishieni GENTAMYCINE salamu zangu za dhati kabisa Kwake kwa Kauli yake ila atambue tu ya kwamba Marehemu Ruge Mutahaba alituasa kuwa tukiwa hapa duniani tuogope sana Vitu Viwili tu Mwenyezi Mungu na Teknolojia ya Mzungu.
Uzi mkali sana huu..wenye "madini" ya kufa mtu. Ambao umejaa kumbukumbu ya matukio na watu walipata "dhahama" ya mateso na dhulma kutoka kwa "Rais" wa Dar es Salaam....ambae alikuwa ana uwezo wa kuingia ikulu kama chooni. Na "kumnyamazisha" milele mtu yoyote ambae alikuwa anapishana na Magu. But karma is a bitch...it will hunt him down and finish him. That I don't doubt...
 
1. Ben Saanane pole sana huko uliko.

2. Azory Gwanda pole sana huko uliko.

3. Binti Akwilina Akwilina pole sana huko uliko.

4. Clouds tv hasa hasa Marehemu Ruge na Watangazaji wa Shilawadu akina Soudy Brown na Kwisa, poleni sana.

5. Mwanamuziki Roma Mkatoliki pole sana.

6. Yusuf Mehboob Manji pole sana

7. Nape Nnauye pole sana Kukoswakoswa Kufumuliwa Ubongo wako Mubashara pale St. Peters Oysterbay.

8. Mo Dewji pole sana na zile Khanga zako mbichi zilizokupendeza pia.

9. Maiti zote zilizokutwa zikielea Coco Beach, Kawe Beach na Kunduchi Beach poleni huko mliko

10. Tundu Lissu pole sana

11. Uliyekuwa Mmoja wa Walinzi wa aliyeondoka tarehe 17 Machi, 2021 (sasa ni DSO) Wilaya Moja ambayo Mwezi huu kuna Baridi Kali pole sana kwa Kukoswakoswa Kuondoka duniani ukihusishwa kuwa Wewe ndiyo Yule Mbabe wa Twita.

12. Modestus Kipilimba (sasa Balozi) na Robert Msalika (RAS) Tabora nanyi pia Poleni sana.

13. Beach Kidimbwi nanyi poleni kwa Kudai chenu hadi Leo wakati Huduma yenu mlitoa vizuri tu na Mtu kusikia Utamu hadi akawa habanduki hapo.

14. Msio na Hatia yoyote ile lakini mkasingiziwa nanyi ni ' Drug Barons ' nchini Tanzania na hasa hasa Mkoani Dar es Salaam poleni sana.

15. Boss wa TSN Supermarket pole sana kwa Kulazimishwa kila Mwezi utoe Lita 3000 (Elfu Tatu) za bure kwa Gari ya Mtu.

16. Waandamizi wote wa TISS nanyi pia Poleni kwa zile ' Dossiers ' zenu kumhusu Mtu fulani na Matendo yake ' Hatarishi ' kwa Usalama na Ustawi wa nchi Kuchanwa na Kutupwa huku mkinyamazishwa na aliyenyamazishwa Kimoja na Israeli.

17. Poleni sana Waandishi wa Habari (hasa hasa wa Gazeti la Tanzania) Wewe uitwae Ibrahim Yamola (sasa upo Mwananchi Tabata) kama Chief Reporter kwa Misukosuko na Vitisho vya kutolewa hadi Uhai wako ulivyovipata.

18. Nawe Mtume Mwamposa pole sana kwa kila Mwezi kulazimishwa Kuchangia Tsh Milioni 10 za Maendeleo ya Mkoa wa Dar es Salaam ila ukawa unalazimishwa uiweke katika Akaunti Binafsi ya Mtu.

19. Pole sana Mzee Jaji Joseph Sinde Warioba kwa Kufanywa 'Punching Bag' na Mtu pale Blue Pearl Ubungo mwaka nimeusahau japo baadae ulitumiwa Meseji na mpaka ukapigiwa Simu kuwa Ukaushe (Uuchune ) na ikiwezekana umtetee kwa Nguvu zote kuwa hakukupiga.

20. Pole sana Ridhiwani Kikwete kwa Nyoka uliyemfuga Mwenyewe hatimaye alivyokuwa mkubwa akaanza 'Kukung'ata' na Wewe pia huku akikutisha 'Kukupukutisha' Utajiri wako na 'ukanywea' kweli kweli japo kwa sasa ni Mtu mwenye Furaha mno sijajua ni kwanini.

Popote pale alipo Salum Hamduni (Boss TAKUKURU) nifikishieni GENTAMYCINE salamu zangu za dhati kabisa Kwake kwa Kauli yake ila atambue tu ya kwamba Marehemu Ruge Mutahaba alituasa kuwa tukiwa hapa duniani tuogope sana Vitu Viwili tu Mwenyezi Mungu na Teknolojia ya Mzungu.
Pole na wewe pia
 
Back
Top Bottom