Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Nadhani wanaweka mambo sawa, akipandishwa kisutu ni mwanzo mwisho mpaka hukumuAliyoyafanya Ole Sabaya ambaye leo hii Watanzania mnamshangaa Paul Christian Makonda kafanya mara 100 yake na nashangaa kuona ' akitetewa ' na ' kulindwa ' wa Wapumbavu wa Kimamlaka nchini.
yaani hata kama unaproducepumba tusikujibu?umekuwa nani jf? kama huna point yakupresent si ukae kimya siyo lazima uandikeHauna ' IQ' ya Kujenga Hoja na Mimi Ok?
acheni wivu wa kike yaani mnaonesha kabisa mna wivu wa kike kike
unamsema huyo makonda hivyo mbona sijawahi kuona ukimsema mbowe miaka 20 anakula ruzuku na kunyanyapaa wana wake? wabunge hawana say juu yake uenyekiti wa kudumu imeshakuwa taasisi yake huyo unaona hali hela ya uma siyo?@Iboya2021 watu wakisema huna akili , uelewe ! Miaka minne ya u RC magorofa matatu Mwz. Ina maana akina Mtaka, Malima , Mongela etc hawakuwa viongozi ?!
Huyu mtu ana siri gani anakamatwa manji yeye hata kutajwa inaelekea ana kinga ktk hii biashara hapa nchiniYes, Reli ya drugs aliikamata uyo kwa mgongo wa bashite
We mbwa umeambiwa kama ushahidi unao wa unayoyaongea peleka sahemu husika vyombo vya dola vifanyie kazi, sio kubweka bweka humu hovyo mshenzi wewe.Dua la kuku siku zote halimpati mwewe.
Wasaga Sumu na Wafitinishi wa Taifa, mnataka Nchi hii iwe ya visasi.
Kila aliekataa au alieshiriki kuhakikisha hamuingii IKULU leo mnataka kumkomoa kwa Mambo yasiyo na USHAHIDI.
Kama wewe ni GENTAMYCINE mpenda haki mbona hatusikii mkitaka TUME HURU kuchunguza na kutoa ukweli wa kifo cha #JPM na badala yake mnazidi kupambana na mfu.?
Mmetajiwa mpaka Sumu ililetwa na nani.....
Lakini nyinyi mmekazania Makonda mara DIAMOND yaani full Visasi!
Hivi mnajua gharama ya VISASI inavyoweza kutafuna VIZAZI?
hapo ndiyo ujue kwanini saloon za kike hazina redio ndo watu kama hawa ni wivu tu na majunguDua la kuku siku zote halimpati mwewe.
Wasaga Sumu na Wafitinishi wa Taifa, mnataka Nchi hii iwe ya visasi.
Kila aliekataa au alieshiriki kuhakikisha hamuingii IKULU leo mnataka kumkomoa kwa Mambo yasiyo na USHAHIDI.
Kama wewe ni GENTAMYCINE mpenda haki mbona hatusikii mkitaka TUME HURU kuchunguza na kutoa ukweli wa kifo cha #JPM na badala yake mnazidi kupambana na mfu.?
Mmetajiwa mpaka Sumu ililetwa na nani.....
Lakini nyinyi mmekazania Makonda mara DIAMOND yaani full Visasi!
Hivi mnajua gharama ya VISASI inavyoweza kutafuna VIZAZI?
Mkuu huu uzi umenikumbusha jinsi alivyokuwa anajikomba kwa Ridhwan wakati Kikwete akiwa Rais kisha wakati wa dhalimu kumchoma kwamba ni muuza unga.
Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu
Dar es Salaam. Baada ya kuitwa kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na biashara ya dawa za kulevya, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema taarifa hizo zilitingisha familia yake, lakini baba yake Jakaya Kikwete alimtia moyo. Tofauti na watuhumiwa wengine waliohojiwa kuhusu matumizi na...www.jamiiforums.com
Alichokisahau ni kuwa dunia inazunguuka haijulikani muda wala saa ambapo aliye juu huja chini ama kinyume chake...
Wahenga walinena "...dunia tambara bovu, umakini watakiwa kuiishi.."