Baada ya Salum Hamduni wa PCCB 'kumtetea' na 'kumlinda' Paul Makonda, naomba nitume salamu za pole kwa wafuatao...

Ogopa sana Mungu na teknolojia ya mzungu
 
Kesi ipo palepale
 
Huyu mama kamuacha maksudi atamtumia kwenye uchaguzi 2025 then atambwaga mazima.
 
Yana mwisho...
Mitaahi.ra nyie, mnaorodhesha watu hawafiki hata kumi, kwamba wao ni so special sio? hivi mnajua hao mabepari mfano Dewji tu kaua na kutesa watu wangapi? familia ngapi? mashamba makubwa alodhurumu watu Tanga bila kuyaendeleza na akawa anatumia kuchukulia mikopo kutoka mabenki makubwa nje ya nchi yaliumiza maelfu ya wananchi, MKIITWA MITAAHI.RA MJIONGEZE, mnapoteza muda, waTanzania wanajua.
 
Wapambane na Hali zao huyo Hamduni amlinde yeye Kama Nani? Watu wa maadili walikuwa wapi mpaka Makonda anakumbatia Mali nyingi hivyo wakati kila miezi 3 viongozi lazima wataje Mali zao hii haipo sawa vyombo vikae vipate muafaka wa pamoja
 
Muogope Mungu na teknolojia ~Ruge
 
Uzi mkali sana huu..wenye "madini" ya kufa mtu. Ambao umejaa kumbukumbu ya matukio na watu walipata "dhahama" ya mateso na dhulma kutoka kwa "Rais" wa Dar es Salaam....ambae alikuwa ana uwezo wa kuingia ikulu kama chooni. Na "kumnyamazisha" milele mtu yoyote ambae alikuwa anapishana na Magu. But karma is a bitch...it will hunt him down and finish him. That I don't doubt...
 
Pole na wewe pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…