Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

*BAADA YA SERIKALI KUANZA MAHOJIANO NA RAZALO NYARANDU KUHUSU KASHFA MBALIMBALI KATIKA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII RASMI ATIMKIA CHADEMA.*

Baada ya Serikali ya awamu ya Tano kuanza kushughulikia kashfa mbalimbali zilizofanywa na baadhi ya viongozi waliokua madarakani katika awamu zilizopita za uongozi tayari baadhi ya watu waliobanwa na Serikali kwa kashfa hizo wameanza kuhamia upinzani hususani CHADEMA ili kuandaa mazingira ya kuonekana wameonewa baada ya kufikishwa Mahakamani.

Duru za ndani ya Serikali zinadai kuwa toka Mh. John Pombe Magufuli amechaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Nyarandu amekua katika Wakati Mgumu akihojiwa kuhusu Mikataba Mbalimbali ya Kifisadi iliyisainiwa katika Kipindi ambacho amehudumu kama Waziri wa MALIASILI NA UTALII.

Baada ya kuhojiwa na Vyombo mbalimbali na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa Mh. Nyarandu aliingia mikataba mibovu na baadhi ya Makampuni ya Kigeni kwa maslahi yake binafsi ikiwa ni Pamoja na uuzaji wa Vitalu vya Uwindaji Pamoja na kashfa nzito ya Kupandisha ndege Twiga wa Tanzania na kuuza raslimali mbalimbali za Taifa ndipo Serikali ilipochukua maamuzi ya Kumfikisha Mh. Nyarandu Mahakamani.

Katika Kufanikisha adhima hiyo Wiki kadhaa zilizopita Mh. Rais alimteua Mh. Hamis Kigwangala kuwa Waziri wa MALIASILI NA UTALII ambaye ameanza kwa kufuta leseni zote za Uwindaji zilizotolewa na Mh. Nyarandu kwa makampuni ya Kigeni kwa misingi ya Rushwa. Baada ya kuvunjwa kwa mikataba hiyo na kurudisha Serikalini baadhi ya Vitalu vya uwindaji Mh. Nyarandu amekua katika Wakati Mgumu kwani wawekezaji aliosaini nao mikataba wamembana wakitaka arejeshe mara moja pesa zao Pamoja na fidia kwani ameonekana aliwatapeli kwa kuwahakikishia kuendesha Shughuri zao Nchini katika njia za Unyonyaji.

Kwa hiyo kutokana na shinikizo alilonalo toka kwa Makampuni hayo ya Kigeni na Kwa namna serikali ilivyodhamilia kumfikisha Mahakamani kwa makosa ya Uhujumu uchumi ameamua kukimbilia Upinzani ili atakaposhitakiwa ionekan Upinzani Nchini Tanzania unaonewa.

Baadhi ya Makada wakongwe ndani ya Chadema waliotoa maoni yao wameonyesha kuchukizwa kwao na jinsi watu wenye kashfa za Ufisadi wanavyokimbilia kwenye chama chao.

Ninadhani sasa huu ni mtego, kama tutampokea chama chetu litakua chaka la kupokea Mafisadi alisikika akisema Kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya Chadema.

*_Je Chadema watampokea Nyarandu wakijua kuwa atafikishwa Mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za Ubadhilifu, kuitia Nchi hasara na kufanya ufisadi mkubwa?_*

Tuendelee kusubiri Kuona maamuzi ya Chadema kuhusu Nyarandu.
Wenye akili tuliliona hili, kwa kumsoma Dr. Kigwa na kauli zake, ni dhahiri shahiri jamaa sasa anatafuta huruma.
 
Mtasema sana mauvccm ila ndo hivyo tena chama cha mazombi kinamomomyoka ....labda libaki zombi kuu linaloendesha ukabila
 
Hapa kazi tu, watambana huko huko mpaka kieleweke!
Kama kaamua kiwatumia chadema poa tu ila bakora ziko pale pale.
 
Mnatafutaga pa kutokea yan mpaka mnatia kinyaa nyau wanuka shombo nyingi mpyeeeeeee
 
Yaani kumbe ni kweli ndege wanaofanana wanaruka tundu moja.

Naona vitu na mambo yaliyokuwa yamejificha sana uko nyuma yaani kama Wema anakula unga ameamia chadema kwa wenzake.
Lowasa walitwambia kwa ushaidi kuwa ni mwizi na ushaidi tukapewa na kuuona na kuusimamia kwa miaka nane na kila fisadi anakimbilia Chadema. Na nyalandu ameomba aingie uko kama inafaa ktk kichaka hicho.

Ningumu kwa fisadi kubaki Ccm kwa kipindi hiki cha Dr. John Magufuli.
Kumbukeni mafisadi wote wamekimbilia Chadema kama Gugunita, Makongoro Mahanga, Masha, Sumae ambaye tulimsema sana na ukabaila wake hadi juzi Rais katekereza waliyokuwa wanamlalamikia sumai kumiliki mashamba bila kuyaendeleza.
Kweli mkuu hakuna mafisadi CCM kipindi hiki cha jpm maana ata mkulu mwenyewe amehamia chadema, mwakyembe amehamia chadema, tibaijuka amehamia chadema, kinana amehamia chadema, Lukuvi kahamia chadema na ata ambao sijawataja washahamia chadema
 
Mtasema sana mauvccm ila ndo hivyo tena chama cha mazombi kinamomomyoka ....labda libaki zombi kuu linaloendesha ukabila
Nyalandu???
Hana impact ktk sisiemu ya JPM. Kichwa ambacho kikiondoka sisiemu itaumia mmoja wapo ni Januari ila sio Nyalandu.
 
Alafu na wewe unasimama kabisa unazungusha mikono eti mabadiliko.. Pumbavuuu
Teh teh nyie endeleeni kuzungusha masaburi si ndio kazi mnayo iweza
Shaka nasikia kila weekend anaenda Mombasa, usimuonee wivu najua nauli ya Mombasa huna njoo mimi nipo Mombasa ya Dar nitakusaidia kupunguza hizo ashki
 
Kuna yule mwingne aliuza nyumba na kununua mtumbwi chakavu
 
Kuna yule mwingne aliuza nyumba na kununua mtumbwi chakavu naye aletwe na pingu kwa pilato
 
Teh teh nyie endeleeni kuzungusha masaburi si ndio kazi mnayo iweza
Shaka nasikia kila weekend anaenda Mombasa, usimuonee wivu najua nauli ya Mombasa huna njoo mimi nipo Mombasa ya Dar nitakusaidia kupunguza hizo ashki
Hahahahaha.... Sasa hiki ulichoandika ni nini? Ndio ambacho wazazi wenu kwenye familia yako walichowafundisha?
Pole.

Anyway.. Siku laumu ila nawalaumu sana walezi wako.
 
Tatizo Huyo mpumbavu wenu anashindwa kufanya mapya anatafuta ya zaman c aseme tu nchi imemshinda na badooooooo
 
Hahahahaha.... Sasa hiki ulichoandika ni nini? Ndio ambacho wazazi wenu kwenye familia yako walichowafundisha?
Pole.

Anyway.. Siku laumu ila nawalaumu sana walezi wako.
Acha kunibania sauti na kung'ata kucha hizo wewe njoo usione aibu hamna atakaye jua nikipukutisha hizo ashki urudi na nguvu mpya Lumumba ya kusifia kila kitu

Mpumbavu yeyote anajibiwa kipumbavu hivyo tu yaani
 
Kuandika majina tu ya Nyalandu umeshindwa sasa sijui hayo maneno mengine hapo chini utakuwa umeandika nini

Na wewe eti ni kiumbe wa Lumumba unayetaka kutuonyesha ni mjenga hoja mzuri

Anyway katiba inaruhusu wewe kutoa maoni yako ila chonde chonde jua hadhira unayo kusuduia kuufikishia ujumbe wako

Naona aibu mimi kwa hichi ulicho andika
Sijawahi ckia nyalandu fisadi ila akihamia chedema atapewa kashifa ya ufisadi,ccm safi alikuwa safi,siasa uchwara izo
 
Frankly speaking, ndani ya chama tawala wapo wengi tu wenye mtazamo kama wa Nyalandu.
 
Je vipi kuhusu waliofoji vyeti na walionunua wapiga kura wao uchunguzi lini?
 
Back
Top Bottom