Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Mpaka wasanii, wakiumwa mafua wanakuja wa Watanzania waliowatukana na kuwadhihaki, wakiwa na afya wanasema mengine!Waandishi wa Habari wa Tanzania wameelekezwa kusifia serikali tu, vinginevyo hawatapewa matangazo
Hicho ndicho tutakachofanya safari hii, watavuna wanachopandaMpaka wasanii, wakiumwa mafua wanakuja wa Watanzania waliowatukana na kuwadhihaki, wakiwa na afya wanasema mengine!
Wawe wanakula wanapopeleka mboga
Subiri kafulila 2mbiri kashasema mwekezaji analea 700 vipya uzinduzi utafanya wewe chadema digital sijui ilishia wapi baada ya kunyimwa hela ya ruzuku ukasusa kufangaza!Hazifiki, na kwa jinsi zilivyo duni haziwezi kupanda Kitonga
Kama walizindua 300 yamebaki 4 hayo 700 ni kitu gani?Subiri kafulila 2mbiri kashasema mwekezaji analea 700 vipya uzinduzi utafanya wewe chadema digital sijui ilishia wapi baada ya kunyimwa hela ya ruzuku ukasusa kufangaza!
Town planning ilitakiwa iwe endelevu kulingana na mahitaji.Dawa ni kujenga Kariakoo nyingine Pugu, Mbezi, Mbagala na Tegeta ili kupunguza kila kitu kupatikana Kariakoo.
Wanawake kadhaa wamepoteza mimba baada ya kuchoropoka wakigombea usafiriInaonyesha hayo Mabasi ya Mwendo wa Kasini yapo Machache sana Hapo Jijini Dares-Salaam bado tupo nyuma kima endeleo Usafiri wa Mwendo wa kasi unahitaji yawepo Mabasi zaidi ya 5000 ili kuweza kutosheleza huduma kwa jamii kazi kweli bongo yetu . Wadanganyika mutaisoma namba .
View attachment 2997766
Hakuna bwana, haya majitu ya Dart hayajitambui! Sijui hawa jamaa wana magari mangapi aisee? Hivi kama wanayo 100 wakiweka 30 Gerezani-Kimara, 20 Kivukoni - Kimara, 10 Kimara - Morocco, 5 Gerezani - Morocco, 5 Morocco-Kivukoni; shida itakuwa wapi? Jamaa wapuuzi sana unakuta wanafika kituoni wanapaki badala wafike wabebe waondokee!Dawa ni kujenga Kariakoo nyingine Pugu, Mbezi, Mbagala na Tegeta ili kupunguza kila kitu kupatikana Kariakoo.
Soma vizuri utaelewa nilicho kusudia nimesema ushauri wangu yawepo mabasi zaidi ya 5000 ili kutosheleza usafiri wa jiji kuliko yaliyopo mabasi hayazidi zaidi ya mabasi 200 ni machache zaidi kw ajiji la kubwa kama la Dares-Salaam. Laiti yengelikuweppo mabasi kama 10.000 shida ya usafiri ingepunguwa kabisa katika jiji.Umeandika basi za mwendokasi 5000 umepoteza hadhi ya ujumbe wako wote, acha yupige stry tu.
Unaambiwa Magari yote yamekufaHakuna bwana, haya majitu ya Dart hayajitambui! Sijui hawa jamaa wana magari mangapi aisee? Hivi kama wanayo 100 wakiweka 30 Gerezani-Kimara, 20 Kivukoni - Kimara, 10 Kimara - Morocco, 5 Gerezani - Morocco, 5 Morocco-Kivukoni; shida itakuwa wapi? Jamaa wapuuzi sana unakuta wanafika kituoni wanapaki badala wafike wabebe waondokee!
Ndoto ya alinachaKama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara.
Hii ni kwa sababu wakazi wa maeneo hayo wanayo haki ya kusafiri kutoka makwao na kwenda mjini.
Naona dalili ya Jambo baya kutokea muda wowote kwenye Stendi ya Mwendokasi Gerezani
Angalia hali hii, hawa wote wanazo tiketi mkononi, kitendo cha kuwauzia tiketi huku mabasi yakiwa hamna japo ni Wizi lakini pia kunasababisha manung'uniko yatakayokuja kuzaa maafa kwa ngumi kuvurumishwa kwenye stendi hiyo
Lakini kwanini tufike huko?
View attachment 2997552
Nini kifanyike?Ndoto ya alinacha
Hapo ni KimaraNaona hapo ni Kariakoo jioni au Kivukoni!