DOKEZO Baada ya Serikali kushindwa ni muda sasa wa kurejesha Daladala za kusafirisha abiria Kariakoo-Kimara-Mbezi

DOKEZO Baada ya Serikali kushindwa ni muda sasa wa kurejesha Daladala za kusafirisha abiria Kariakoo-Kimara-Mbezi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Suluhisho la kudumu la usafiri jijini Dar ni rahisi kama serikali ikiamua nalo ni kuweka usafiri aina tatu nao reli, maji na hiyo barabara.Tandaza reli sehemu mblmbl jijini, weka speed boat kutoka posta bandarini kwenda hadi bagamoyo kaskazini na hadi rufiji kusini na vituo nchi kavu, Ongeza mabasi ya kusasa aina mblmbl hapa dar tatizo litakuwa historia.
 
Suluhisho la kudumu la usafiri jijini dar ni rahisi kama serikali ikiamua nalo ni kuweka usafiri aina tatu nao reli, maji na hiyo barabara.Tandaza reli sehemu mblmbl jijini, weka speed boat kutoka posta bandarini kwenda hadi bagamoyo kaskazini na hadi rufiji kusini na vituo nchi kavu, Ongeza mabasi ya kusasa aina mblmbl hapa dar tatizo litakuwa historia.
Hiyo habari ya boti imewahi kufanyika majaribio, je utakuwa mradi wa nani?
 
Hiyo habari ya boti imewahi kufanyika majaribio, je utakuwa mradi wa nani?
yule yule aliyepewa kivukoni
Kwani Magari yote yalikuwa ni mangapi? Kaam hiyo DART imeshindwa bora inipe mimi nipate kuendeleza mwendo wa kasi Maana serikali imeshindwa kuendeleza huo mradi bora waubinafsishe kwa wawekezaji kuliko kuwatesa Wananchi Kujazana vituoni wakati mabasi wanayo ngojea yote ni mabovu.
300
 
yule yule aliyepewa kivukoni

300
Hakuna kitu hapo ndio maana usafiri bado shida jijini Dar wameshindwa hao DART kuendeleza huo Mradi wa mwendokasi bora wawape wawekezaji na sidhani kama yote Mabasi yapo barabarani?Itakuwa saa ingine yapo mabasi 10 barabani jiji Dar.

Waziri wa uchukuzi itabidi awajibike Mheshimiwa Mama Rais ambadilishe Waziri wa Uchukuzi hafai kuongaza hiyo Wizara aliyo mpa kuongoza ushauri wangu huo. Jiji lina watu 5,383,728 kuwepo na mabasi 300 Duhhh Majangaa kweli chanzo. Dar es Salaam - Wikipedia
 
Hakuna kitu hapo ndio maana usafiri bado shida jijini Dar wameshindwa hao DART kuendeleza huo Mradi wa mwendokasi bora wawape wawekezaji na sidhani kama yote Mabasi yapo barabarani?Itakuwa saa ingine yapo mabasi 10 barabani jiji Dar. Waziri wa uchukuzi itabidi awajibike Mheshimiwa Mama Rais ambadilishe Waziri wa Uchukuzi hafai kuongaza hiyo Wizara aliyo mpa kuongoza ushauri wangu huo.
Yaliyobaki hayafiki 10
 
Dawa ni kujenga Kariakoo nyingine Pugu, Mbezi, Mbagala na Tegeta ili kupunguza kila kitu kupatikana Kariakoo.
Pamoja na maduka mengi ya Kariakoo usisahau eneo hili pia kuna Bandali ambayo nayo inakusanya watu wengi kutoka kwenye viunga vya jiji, lakini pia jirani na eneo hilo kuna viwanda.
Kwakweli wazo lako ni zuri lakini bado eneo hilo litavuta watu wengi tu
 
Wakirudisha dala dala tena,bado foleni itakuwa pale pale barabarani!
Nadhani wakati wanajipanga wangekodisha baadhi ya wenye mabasi kuziba pengo hilo.
Halafu angalia, barabara zote zenye mwendo kasi hawakuweka vituo vya daladala.
Tukiruhusu daladala tujiandae na foleni za kufa mtu.
 
Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara.

Hii ni kwa sababu wakazi wa maeneo hayo wanayo haki ya kusafiri kutoka makwao na kwenda mjini.

Naona dalili ya Jambo baya kutokea muda wowote kwenye Stendi ya Mwendokasi Gerezani

Angalia hali hii, hawa wote wanazo tiketi mkononi, kitendo cha kuwauzia tiketi huku mabasi yakiwa hamna japo ni Wizi lakini pia kunasababisha manung'uniko yatakayokuja kuzaa maafa kwa ngumi kuvurumishwa kwenye stendi hiyo

Lakini kwanini tufike huko?

View attachment 2997552
AISEEEEEeee.Wacha Bhwanah!

Yaani huo umati wote unasubiri usafiri, au kuna mkutano unaotegemewa kuhutubiwa na Mh. Tundu Lissu?

Lakini nimeona mahali kwenye bandiko lako hili, ukizungumzia habari ya "Bandari"... Sasa nakwambia kwamba jibu lipo hapo hapo, naona unawakumbusha tu. Si niliwahi kusikia habari za Kampuni za UAE? Kwani habari hiyo iliishia wapi?
Serikali hii haiamini kuwa nchi hii kuna watu wanaoweza kufanya kazi ya aina yoyote; achilia hao doladola unaowataja hapa.
Hiyo ndiyo Tanzania iliyomo katika ndoto za Rais wetu mpendwa sana Samia.
Umenipata vizuri mkuu 'Erythro'? Sahau hiyo habari ya Dala Dala.
 
Siku niliyokaa mwendokasi kituoni kusubiri gari nilisubiri kwa muda ambao kama ningepanda daladala ningefika home nikpikiwa wali afu nikarudi kituoni na gari lisingekuwa limekuja. Ubishoo kujifanya sipandi daladala kuna mwendo kasi ulini cost muda.
Mimi kama ruti ya mbezi- kinondoni huwa napanda daladala tu zinazopiga mbezi ~ makumbusho via Morogoro Road na kawawa maana zipo siku hizi.
 
Suluhisho la kudumu la usafiri jijini Dar ni rahisi kama serikali ikiamua nalo ni kuweka usafiri aina tatu nao reli, maji na hiyo barabara.Tandaza reli sehemu mblmbl jijini, weka speed boat kutoka posta bandarini kwenda hadi bagamoyo kaskazini na hadi rufiji kusini na vituo nchi kavu, Ongeza mabasi ya kusasa aina mblmbl hapa dar tatizo litakuwa historia.
✍️📝👍👌👏🤝🙏
 
Back
Top Bottom