Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Hatua gani hapo imepigwa ikiwa tatizo badala ya kutatuliwa, ndio limeongezeka?Tumeshapiga hatua kwenda mbele, hatuwezi kurudi nyuma kamwe 🐒
Hata hivyo mawazo yako yaheshimiwe tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatua gani hapo imepigwa ikiwa tatizo badala ya kutatuliwa, ndio limeongezeka?Tumeshapiga hatua kwenda mbele, hatuwezi kurudi nyuma kamwe 🐒
Hata hivyo mawazo yako yaheshimiwe tu...
mabasi ya mwendokasi yalikuepo ya kutosha na hapakua na malalamiko. hivi sasa kumetokea changamoto kidogo tu ndio turudi nyuma kweli 🐒Hatua gani hapo imepigwa ikiwa tatizo badala ya kutatuliwa, ndio limeongezeka?
Kwahiyo raia waendelee kupata tabu mpaka huo mchakato ukamilike?mabasi ya mwendokasi yalikuepo ya kutosha na hapakua na malalamiko. hivi sasa kumetokea changamoto kidogo tu ndio turudi nyuma kweli 🐒
tayari mbia atakaefanya kazi za usafiri wa mwendokasi ameshapatikana ni suala la muda tu ataanza kutoa huduma 🐒
suala la kukata tamaa panapotokea changamoto Fulani, libaki kua ni suala binafsi tu. But as country we can not tolerate that at all.🐒
necessary efforts and measure are in place, the challenge is going to be addressed as soon as possible, relax kua na subra kidogo tu 🐒
suala hapa, sio raia waendelee kupata tabu, wala kusitisha huduma iliyopo, kwamba inaweza kuleta madhara kwa abiria wanaoigombania, au kurudisha ile ya zamani anayo pendekeza mtoa hoja 🐒Kwahiyo raia waendelee kupata tabu mpaka huo mchakato ukamilike?
Unajua hiyo vurugu ya kugombea bus inaweza sababisha vifo au ulemavu kwa wengine?
Kweli kabisa .Ni kupewa kampuni binafsi ili iendeshe yaani watapiga pesa balaa serikalini ipewe %%%
Tujifunze kwenye nchi zilizo Endelea mfano German,Finland, Switzerland, uingereza, marekani
Mfumo unalazimisha watu kuwa wezi mkuuCBE na UDBS vina maana gani maana ni vyuo vya biashara, lakini tunatoa wahitimu wezi na ambao wanapewa majukumu ya kusimamia miradi ya serukali yote inakufa. Tuanze kunyongana .
Bahasha zinawatesa snWaandishi wa Habari wa Tanzania wameelekezwa kusifia serikali tu, vinginevyo hawatapewa matangazo
Suresuala hapa, sio raia waendelee kupata tabu, wala kusitisha huduma iliyopo, kwamba inaweza kuleta madhara kwa abiria wanaoigombania, au kurudisha ile ya zamani anayo pendekeza mtoa hoja 🐒
suala hapa ni kwamba, hao abiria ni Lazima wapate huduma bora ya usafiri, na hicho ndicho kinacho fanyiwa kazi na wahusika wa kisekta kama ambavyo nimeeleza awali 🐒
inafahamika abiria wanapata tabu sana, lakini pia kama serikali, shinikizo ni kubwa zaidi na tupo katika vikao vya bajeti.....
hata hivyo bado ustahimilivu na subra vinahitajika kwa watumia usafiri huo, wakati jitihada na hatua za makusudi kutatua changamoto hiyo zikifanyiwa kazi 🐒h
Hata hii pia ilikuwa ya ubia piaSerikali haifai kufanya biashara...wakitaka waingie ubia au wawaachie sekta binafsi...wao wachukue kodi tu
Imesababisha video na ulemavu kiasi gani Hadi Sasa!?..unafiki tu,uweke daladala moro road kutapitika!...ulikuwepo 2007/8 ukashuhudia foleni hiyo Barbara!?..Leo magari yameongezeka unataka urudishe,yatapaki wapi pale kkoo?Kwahiyo raia waendelee kupata tabu mpaka huo mchakato ukamilike?
Unajua hiyo vurugu ya kugombea bus inaweza sababisha vifo au ulemavu kwa wengine?
Umeongea jamba jema sana, yani huu mradi ungeendelea pamojana madaladala ya Mbezi kariakoo via Morogororoad na Mbezi posta via morogororoad. Watu wanaumia, wanapoteza vitu vyao kisahuu mradi jamani? Hivi viongozi hawalioni hii kelele?Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara.
Hii ni kwa sababu wakazi wa maeneo hayo wanayo haki ya kusafiri kutoka makwao na kwenda mjini.
Naona dalili ya Jambo baya kutokea muda wowote kwenye Stendi ya Mwendokasi Gerezani
Angalia hali hii, hawa wote wanazo tiketi mkononi, kitendo cha kuwauzia tiketi huku mabasi yakiwa hamna japo ni Wizi lakini pia kunasababisha manung'uniko yatakayokuja kuzaa maafa kwa ngumi kuvurumishwa kwenye stendi hiyo
Lakini kwanini tufike huko?
View attachment 2997552
Acha iongo wewe ushaona foleni inayosababishwa na vibajaji vilivyo jimilikishia njia hiyo? Usiongee kama1sio mtumiaji hizi bus, usumbufu wake ni mkubwa sanaImesababisha video na ulemavu kiasi gani Hadi Sasa!?..unafiki tu,uweke daladala moro road kutapitika!...ulikuwepo 2007/8 ukashuhudia foleni hiyo Barbara!?..Leo magari yameongezeka unataka urudishe,yatapaki wapi pale kkoo?
Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara.
Hii ni kwa sababu wakazi wa maeneo hayo wanayo haki ya kusafiri kutoka makwao na kwenda mjini.
Naona dalili ya Jambo baya kutokea muda wowote kwenye Stendi ya Mwendokasi Gerezani
Angalia hali hii, hawa wote wanazo tiketi mkononi, kitendo cha kuwauzia tiketi huku mabasi yakiwa hamna japo ni Wizi lakini pia kunasababisha manung'uniko yatakayokuja kuzaa maafa kwa ngumi kuvurumishwa kwenye stendi hiyo
Lakini kwanini tufike huko?
View attachment 2997552