DOKEZO Baada ya Serikali kushindwa ni muda sasa wa kurejesha Daladala za kusafirisha abiria Kariakoo-Kimara-Mbezi

DOKEZO Baada ya Serikali kushindwa ni muda sasa wa kurejesha Daladala za kusafirisha abiria Kariakoo-Kimara-Mbezi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi baba ngu amempa dogo Kiwanja Mwanza Nyegezi California ila napambana ajili ya wanangu ,na dogo naye amepata Makazi anaishi hapo hivyo nikienda nalala hakuna shida , bado ni nyumbani tu na hakuna maneno
 
Wakirudisha dala dala tena,bado foleni itakuwa pale pale barabarani!
Nadhani wakati wanajipanga wangekodisha baadhi ya wenye mabasi kuziba pengo hilo.
Tayari mkuu, nimo humu kutoka mbezi naelekea kariakoo.
 
Soma vizuri utaelewa nilicho kusudia nimesema ushauri wangu yawepo mabasi zaidi ya 5000 ili kutosheleza usafiri wa jiji kuliko yaliyopo mabasi hayazidi zaidi ya mabasi 200 ni machache zaidi kw ajiji la kubwa kama la Dares-Salaam. Laiti yengelikuweppo mabasi kama 10.000 shida ya usafiri ingepunguwa kabisa katika jiji.
Kwani mwendokasi uko kila mahali? Sasa hivi njia ni moja tu yenye tawi moja la Morocco. Sasa wangekuwa nayo 200 mbona usafiri ungekuwa mzuri sana! Maanake hapo unamaanisha 150 yangeshika njia kuu ya Mbezi-Gereza/Kivukoni na 50 au 30 yangeshika ya Morocco-Gerezani/Kivukoni. Usafiri ungekuwa mzuri mno. Hapo gari ningekuwa zinatofautiana kwa dakika 5.
 
Back
Top Bottom