Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Ni kupewa kampuni binafsi ili iendeshe yaani watapiga pesa balaa serikalini ipewe %%%Nini kifanyike?
Serikali zilizoshindwa mara zote zinakuwa kama hiiKwanini serikali inaikuza hii changamoto
Hiyo habari ya boti imewahi kufanyika majaribio, je utakuwa mradi wa nani?Suluhisho la kudumu la usafiri jijini dar ni rahisi kama serikali ikiamua nalo ni kuweka usafiri aina tatu nao reli, maji na hiyo barabara.Tandaza reli sehemu mblmbl jijini, weka speed boat kutoka posta bandarini kwenda hadi bagamoyo kaskazini na hadi rufiji kusini na vituo nchi kavu, Ongeza mabasi ya kusasa aina mblmbl hapa dar tatizo litakuwa historia.
Kwani Magari yote yalikuwa ni mangapi? Kama hiyo DART imeshindwa bora inipe mimi nipate kuendeleza mwendo wa kasi Maana serikali imeshindwa kuendeleza huo mradi bora waubinafsishe kwa wawekezaji kuliko kuwatesa Wananchi Kujazana vituoni wakati mabasi wanayo ngojea yote ni mabovu.Unaambiwa Magari yote yamekufa
yule yule aliyepewa kivukoniHiyo habari ya boti imewahi kufanyika majaribio, je utakuwa mradi wa nani?
300Kwani Magari yote yalikuwa ni mangapi? Kaam hiyo DART imeshindwa bora inipe mimi nipate kuendeleza mwendo wa kasi Maana serikali imeshindwa kuendeleza huo mradi bora waubinafsishe kwa wawekezaji kuliko kuwatesa Wananchi Kujazana vituoni wakati mabasi wanayo ngojea yote ni mabovu.
Hakuna kitu hapo ndio maana usafiri bado shida jijini Dar wameshindwa hao DART kuendeleza huo Mradi wa mwendokasi bora wawape wawekezaji na sidhani kama yote Mabasi yapo barabarani?Itakuwa saa ingine yapo mabasi 10 barabani jiji Dar.yule yule aliyepewa kivukoni
300
Yaliyobaki hayafiki 10Hakuna kitu hapo ndio maana usafiri bado shida jijini Dar wameshindwa hao DART kuendeleza huo Mradi wa mwendokasi bora wawape wawekezaji na sidhani kama yote Mabasi yapo barabarani?Itakuwa saa ingine yapo mabasi 10 barabani jiji Dar. Waziri wa uchukuzi itabidi awajibike Mheshimiwa Mama Rais ambadilishe Waziri wa Uchukuzi hafai kuongaza hiyo Wizara aliyo mpa kuongoza ushauri wangu huo.
Ndio hayo 400 yalikuwa ni ng'ombe zisizo na mchungaji!Kama walizindua 300 yamebaki 4 hayo 700 ni kitu gani?
Pamoja na maduka mengi ya Kariakoo usisahau eneo hili pia kuna Bandali ambayo nayo inakusanya watu wengi kutoka kwenye viunga vya jiji, lakini pia jirani na eneo hilo kuna viwanda.Dawa ni kujenga Kariakoo nyingine Pugu, Mbezi, Mbagala na Tegeta ili kupunguza kila kitu kupatikana Kariakoo.
Kampuni lifutwe hili!Unaambiwa Magari yote yamekufa
Halafu angalia, barabara zote zenye mwendo kasi hawakuweka vituo vya daladala.Wakirudisha dala dala tena,bado foleni itakuwa pale pale barabarani!
Nadhani wakati wanajipanga wangekodisha baadhi ya wenye mabasi kuziba pengo hilo.
Hata magari yenyewe wananunua feki, ukiweka na wasimamizi ambao ni wapigaji huwezi kupata cha maana hapo.Yaliyobaki hayafiki 10
AISEEEEEeee.Wacha Bhwanah!Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara.
Hii ni kwa sababu wakazi wa maeneo hayo wanayo haki ya kusafiri kutoka makwao na kwenda mjini.
Naona dalili ya Jambo baya kutokea muda wowote kwenye Stendi ya Mwendokasi Gerezani
Angalia hali hii, hawa wote wanazo tiketi mkononi, kitendo cha kuwauzia tiketi huku mabasi yakiwa hamna japo ni Wizi lakini pia kunasababisha manung'uniko yatakayokuja kuzaa maafa kwa ngumi kuvurumishwa kwenye stendi hiyo
Lakini kwanini tufike huko?
View attachment 2997552
EEEeeNnHEEEEeee!Unaambiwa Magari yote yamekufa
Mimi kama ruti ya mbezi- kinondoni huwa napanda daladala tu zinazopiga mbezi ~ makumbusho via Morogoro Road na kawawa maana zipo siku hizi.Siku niliyokaa mwendokasi kituoni kusubiri gari nilisubiri kwa muda ambao kama ningepanda daladala ningefika home nikpikiwa wali afu nikarudi kituoni na gari lisingekuwa limekuja. Ubishoo kujifanya sipandi daladala kuna mwendo kasi ulini cost muda.
βοΈπππππ€πSuluhisho la kudumu la usafiri jijini Dar ni rahisi kama serikali ikiamua nalo ni kuweka usafiri aina tatu nao reli, maji na hiyo barabara.Tandaza reli sehemu mblmbl jijini, weka speed boat kutoka posta bandarini kwenda hadi bagamoyo kaskazini na hadi rufiji kusini na vituo nchi kavu, Ongeza mabasi ya kusasa aina mblmbl hapa dar tatizo litakuwa historia.