DOKEZO Baada ya Serikali kushindwa ni muda sasa wa kurejesha Daladala za kusafirisha abiria Kariakoo-Kimara-Mbezi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi baba ngu amempa dogo Kiwanja Mwanza Nyegezi California ila napambana ajili ya wanangu ,na dogo naye amepata Makazi anaishi hapo hivyo nikienda nalala hakuna shida , bado ni nyumbani tu na hakuna maneno
 
Wakirudisha dala dala tena,bado foleni itakuwa pale pale barabarani!
Nadhani wakati wanajipanga wangekodisha baadhi ya wenye mabasi kuziba pengo hilo.
Tayari mkuu, nimo humu kutoka mbezi naelekea kariakoo.
 
Kwani mwendokasi uko kila mahali? Sasa hivi njia ni moja tu yenye tawi moja la Morocco. Sasa wangekuwa nayo 200 mbona usafiri ungekuwa mzuri sana! Maanake hapo unamaanisha 150 yangeshika njia kuu ya Mbezi-Gereza/Kivukoni na 50 au 30 yangeshika ya Morocco-Gerezani/Kivukoni. Usafiri ungekuwa mzuri mno. Hapo gari ningekuwa zinatofautiana kwa dakika 5.
 
Dawa ni kujenga Kariakoo nyingine Pugu, Mbezi, Mbagala na Tegeta ili kupunguza kila kitu kupatikana Kariakoo.
Kupunguza idadi ya watu wanaojaa katkati ya mji? Ni good idea but explain more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…