Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Tundu lisu Hana uwezo wa kuongoza nchi yule ni msaliti Kama wengine tu,hakuna kiongozi pale
Nyani wapo mlemle na matembo yapo mlemle!!Lakini,kuna nyani wengine wanaiba mazao shambani mwako huku anafanya vibweka ambavyo unabaki kucheka kwa furaha ukibugia zambarau kimtindo.Si sawa na "litembo" ambalo linakula mazao yako na kuvuruga shamba.Ukikaa vibaya anakuua.Chaguo ni lipi?
Walkua wapo active balaaaa..... Hakuna kibaya kwao[emoji23]Waliokuwa wateule wanawaza kuwekwa benchi na waliokuwa wanasubiri favor imekula kwao, hao raia wanaoenda huko ni wameenda tu kushangaa ka ilivo hulka yetu watanzania.
Dah ila nawahurumia waliokuwa wanasifu na kujipendekeza imekula kwao, ndio maana maandiko yanasema alaaniwe anayemtegemea mwanadamu kuwa nguzo yake
Lissu hakushambuliwa na Bali alifanya maigizo ili kupata huruma ya kisiasa kimataifa
Lisu hana faida yoyote kwa taifa hili, ni takataka.Hapo ulipo, safiri, halafu wapigie simu ndugu zako kuwa umetekwa. Waambie waende polisi kuripoti kabisa. Zima simu. Kaa kama mwezi 1 hivi halafu jitokeze. Uone kama ni maigizo au la.
Na wasiwasi na elimu yako. Polisi wanakitengo kinaitwa FRAUD.
Elimu yangu yakawaida tu sijasoma sana,lakini mfano uliotoa sijakuelewa sababu ya Elimu.Naendelea kukufahamisha lissu hakushambuliwa na utawala wa magufuri Bali alipanga mwenye jamaa ya kushabuliwa ili kuchafua utawala wa JMP apate huruma ya kisiasa.Kwa akili yako ya kupambanua mambo risasi zaidi ya 30 zisiue mtu? kwa mfano duniani wapi lilitokea hilo tukio,lakini kwa lissu lilitokeaHapo ulipo, safiri, halafu wapigie simu ndugu zako kuwa umetekwa. Waambie waende polisi kuripoti kabisa. Zima simu. Kaa kama mwezi 1 hivi halafu jitokeze. Uone kama ni maigizo au la.
Na wasiwasi na elimu yako. Polisi wanakitengo kinaitwa FRAUD.
Wewe ni zombie mwenye ulimi unaotoa manenoElimu yangu yakawaida tu sijasoma sana,lakini mfano uliotoa sijakuelewa sababu ya Elimu.Naendelea kukufahamisha lissu hakushambuliwa na utawala wa magufuri Bali alipanga mwenye jamaa ya kushabuliwa ili kuchafua utawala wa JMP apate huruma ya kisiasa.Kwa akili yako ya kupambanua mambo risasi zaidi ya 30 zisiue mtu? kwa mfano duniani wapi lilitokea hilo tukio,lakini kwa lissu lilitokea
👹Wewe ni zombie mwenye ulimi unaotoa maneno
Hakika mkuuUtamkuta mtu yuko kijiweni tu au kwa shemeji yake hana mishe anakuambia pesa
Hakuna
Ova
Nenda zako mramba viatu vya Mbowe