Baada ya siku 21 waliosema hela zimepotea mtaani sasa wataanza kuokota hela mitaani

Tenda hewa za serikali tumesha tangaziwa.. nimesha omba kujenga barabara hewa huko mkulanga km 57 kwa kiwango cha lami..

Mkataba ni miaka 8, ikiwa na option ya kuongeza muda usio zidi miaka 2.
 

True Chief!

Mzee Mengi (Hayati) alikua Msukuma na Mitala yake!
 
Ni nchi gani, raia zake wanaokota hela? Unajua money circulation? Inaonekana ulikimbia shule. Shida ya wafrika wanapenda umaskini sana na kufanya kazi ngumu.
Ndiyo maana waarabu na wazungu walikuja kuchukua watumwa Afrika
Wamezoea vya kunyonga kaka vya kuchinja hawaviwezi
 
Ni nchi gani, raia zake wanaokota hela? Unajua money circulation? Inaonekana ulikimbia shule. Shida ya wafrika wanapenda umaskini sana na kufanya kazi ngumu.
Ndiyo maana waarabu na wazungu walikuja kuchukua watumwa Afrika
Kumbe hamkusema hela zimepotea mtaani?
 
mtoa mada ana wasi wasi na kibarua chake anatafuta huruma ya wana jeiefu
 
Hivi kwanini?
Ukisapoti serikali unaitwa mataga?

Ila ukiisapoti upinzani unaitwa mzalendo hii imekaaje?
 
Tangu lini hela zikapotea mtaani? Money circulation ndicho kinachoongelewa mtaani. Awamu 1-4 walikuwa wanatoa ajira za walimu, polisi, magereza, jeshi na madaktari kila mwaka, walimu wapya walikuwa wanaajiriwa kwenye 30,000 mpaka 35,000 hapo bado madaktari, wanajeshi na magereza.
Kulikuwa na nyongeza za mishahara, posho pamoja na marupurupu kwahiyo fedha wanaolipwa hawa watu ndizo zinazoongeza mzunguko wa hela mtaani, hizo hizo watazitumia wenye maduka, boda boda n.k
Lakini awamu hii ya 5 hivyo vyote hakuna kwahiyo money circulation ni ndogo sana.
Kumbe hamkusema hela zimepotea mtaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…