IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Hivi kwa nini kusiwe na option ya mtu akiandika first class pumba apigwe ban hata ya miezi 3???Pumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa nini kusiwe na option ya mtu akiandika first class pumba apigwe ban hata ya miezi 3???Pumba
Itabidi tuombe mods waweke hiyo optionHivi kwa nini kusiwe na option ya mtu akiandika first class pumba apigwe ban hata ya miezi 3???
Afadhali wewe umechambuaTangu lini hela zikapotea mtaani? Money circulation ndicho kinachoongelewa mtaani. Awamu 1-4 walikuwa wanatoa ajira za walimu, polisi, magereza, jeshi na madaktari kila mwaka, walimu wapya walikuwa wanaajiriwa kwenye 30,000 mpaka 35,000 hapo bado madaktari, wanajeshi na magereza.
Kulikuwa na nyongeza za mishahara, posho pamoja na marupurupu kwahiyo fedha wanaolipwa hawa watu ndizo zinazoongeza mzunguko wa hela mtaani, hizo hizo watazitumia wenye maduka, boda boda n.k
Lakini awamu hii ya 5 hivyo vyote hakuna kwahiyo money circulation ni ndogo sana.
Nani alimtuma akanunue madege.Tangu tarehe 17 mwezi Machi Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya Watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha Hayati Rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lissu, Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe Watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lissu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu.
Tundu Lissu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia Watanzania na siyo kutumikia Acacia.
Ununuzi wake ndo umetumalizia hela mtaani.Kama wewe ni masikini huna uwezo wa kupanda ndege kaa hivyo hivyo hapo ufipa.
Nani kakudanganya??? Uliwahi ona waliomzika Hitler??? Aisee jidanganye tuu watanzania hawana kazi hata vibanda umiza wanajaaa kibao !!! Aliyekwambia watu walilia kwa simanzi Nani!????hujui kuna kulia kwa furaha????aisee mm nimeshuhudia sherehe za ajabu mitaani amini nakwambiaTangu tarehe 17 mwezi Machi Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya Watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha Hayati Rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lissu, Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe Watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lissu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu.
Tundu Lissu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia Watanzania na siyo kutumikia Acacia.
Jidanganye tuuuuuuuuuuTangu tarehe 17 mwezi Machi Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.

Nikutumie picha??? Nenda jando aiseeWamezunguka dunia nzima kuibagaza Tanzania
Jembe hupelekeshwa na mpiniMwambie haelewe,Magu ni jembe.
JidanganyeWanaoshangilia ni sehemu ndogo sana ya Watanzania (tone la maji baharini) wameaibika kwa kuona umati unaomkubali hayati JPM.
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Wasukuma bila mungu kufanya yake mngekea matajiri sana kwa kubebwa hata mikono ya sweta mngekua mnaenda kuitoa ughaibuni!!!! Asante sir GodTundu Lisu hataiongoza hii nchi kamwe.
Hata ahamie CCM hii nchi kamwe hataiongoza. Nimepitia Twitter yake nimeona ujinga wa hali ya juu anaiponda hati maiti. Ukweli akija kushika hii nchi Tundu Lisu, nitajua nchi hii haina Usalama wa JWTZ.
Niliwahi kumkubali, lakini nimeona sura yake halisi. Haitatokea nitamke jina lake mbele za Mungu.
Ila kwa sheria na kuionesha serikali inapokosea bado namkubali sana, na ninatamani mama SSH amrudishe asaidie taifa kwa ngazi za zinazoendana na yeye.
Ila URAIS, nawaomba TISS, JWTZ wafuatilie vizuri maneno yake na wayasome kwa undani na waone kwa nini nasema hawezi shika nchi, maana ana kifua kidogo. Japo najua kuna TISS wanamkubali sana kama anavyojivuna mara kwa mara kuwa hizi taarifa nimepewa na TISS wakaribu naye.
Mwisho naomba Lissu aaminiwe kwa uongozi wowote ndani ya Tz ila kamwe asijekuwa msemaji wa Mwisho wa taifa. Ninaelewa ninachosema.
Amechukua akaweka waaaaaaaaaAsante mtoa mada umenena vizuri mno,wengi wao hawajui achana nao ....pumzika kwa Amani Jpm
Amwchukua akaweka waaaaaaaa !!!!Mungu Fundi aiseeNenda zako mramba viatu vya Mbowe
Mataga hoi hayaaamini Munguuuuuuu nitakusifuuuuuNenda ukashangae na wewe mke wa mabeberu.
Mungu anawezaaaa anawezaaaLisu hana faida yoyote kwa taifa hili, ni takataka.