Baada ya siku 21 waliosema hela zimepotea mtaani sasa wataanza kuokota hela mitaani

Baada ya siku 21 waliosema hela zimepotea mtaani sasa wataanza kuokota hela mitaani

Tangu tarehe 17 mwezi Machi Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.

Mamilioni ya Watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!

Kitendo cha Hayati Rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.

Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lissu, Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe Watanzania siyo vilaza.

Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.

Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.

Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lissu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.

Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu.

Tundu Lissu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia Watanzania na siyo kutumikia Acacia.
Huna akili
 
Una hela mitaani umezitolea wapi kenge wewe
Ahaaa we kinuju,tulikuwa nazo mtaani kipindi cha Jk,alipoingia huyu Lupondije kwa kutumia TRA wakatubambikia kodi juu ya kodi,tukafunga biashara.

By the way we ni msukusu Wa ngudu mkuu?.
IMG-20210331-WA0023.jpg
 
Wasukuma bila mungu kufanya yake mngekea matajiri sana kwa kubebwa hata mikono ya sweta mngekua mnaenda kuitoa ughaibuni!!!! Asante sir God
Baraza jipya ,Sukuma gang wanaendelea kupeta kwa sababu ndiyo wenye akili zaidi.

Mtajinyonga kwa wivu
 
Tangu lini Chadema wakaitakia mema ccm hadi wajipe kazi ya kumsifia rais Samia?.

Kazi ya kumsifia rais Samia ni ya MATAGA siyo ya chadema
 
Nilishaonya mapema kuwa yoyote atayejaribu kupuuza au kuchafua legacy ya hayati Magufuli atakutana na nguvu ya uma.

Na ninaposema yoyote namanisha yoyote
 
Ha ha ha ha
Unamaanisha yule shujaa wa zamani?
Nishasahau kama kulikuwa na raisi anaitwa Pombe.
Pole sana myonge naona umeumia sana. Kunywa sumu, ili ukamuone vizuri.
Mshenzy sana yule, blog unalipia milion 1 kwa mwaka kwa pesa zipi? Yule alikuwa mwizi kama wezi wengine

Lakini utapita kwenye barabara alizojenga Pombe mpaka kufa kwako
 
Kama alijenga kwa pesa yake ni sawa. Ni wajibu wa kila kiongozi kufanya maendeleo. Kwani alichaguliwa ili akakae ikulu tu? Pombe ni msimamizi kama wasimamizi wengine.
Pole sana mnyonge
Lakini utapita kwenye barabara alizojenga Pombe mpaka kufa kwako
 
Sijui mi mgumu kuelewa au vipi,yani tutakuwa tukitembea tunaokota hela mitaroni au.
 
Siku 100 baadae bado ni masikini wa kutupwa ,wanaishi kwa kulelewa na wazungu.
20210701_130014.jpg
 
Back
Top Bottom