Baada ya Simba SC kushinda leo dhidi ya FC Platinum hatimaye CAF yatangaza Tanzania mwakani kuingiza timu nne

Baada ya Simba SC kushinda leo dhidi ya FC Platinum hatimaye CAF yatangaza Tanzania mwakani kuingiza timu nne

Sijaona hii taarifa kwenye mtandao wa CAF. na pia CAF wanafanya 5 year ranking baada ya mashindano kumalizika na wala sio timu zikiingia makundi tu. Kwa kila hatua timu inayofikia kunakuwa na point zake. Tanzania inashika nafasi ya 13 mpaka sasa kwa kutumia 5 year ranking ya msimu wa
(2016 -2020) na waliopo juu yetu wote timu zao zimefuzu kwenda hatua ya makundi kasoro inch ya Nigeria, Libya na Zambia ambazo timu zao zimeshindwa kwenda hatua ya makundi hivyo kuangukia kwenye play off ya shirikisho. Hivyo hizo nchi zinaweza kutetea nafasi zao endapo zitafuzu kwenye group stage kombe la shirikisho wataiongezea point inchi zao.

Na wakifika mbali zaidi ya hatua hiyo basi na point pia zitakuwa zinaongezeka. Hivyo Caf hawawezi kutoa award points kabla ya mashindano kumalizika. Kikubwa kuiombea Namungo wafuzu ili kazi ya kuiongezea taifa point iwe nyepesi kwa kuwa na timu mbili, na la pili ni kuniziombea timu zetu zote mbili zifike mbali zaidi. Na Cha tatu ni kuziombea zile inchi 12 zilizo juu yetu basi inchi moja wapo timu yakw ishindwe kwenda hatua za juu zaidi ili wasiongeze point.

N.b
Caf wanaruhusu inchi 12 tu ndizo ziinazoingiza timu nne kwenye michuano ya kimataifa kwa kuzingatia record ya performance ya timu zao ndani ya misimu mitano kwenye ngazi ya champions league na confederation cup
Next season timu 4
IMG-20210106-WA0036.jpg
 
Wewe Mpuuzi hebu acha kunipotezea muda wangu sawa? Na hakuna mahala nilipokulazimisha ukubaliane nami, ila hiyo ndiyo Taarifa ya Ukweli.
Wewe ni mpuuzi kuliko huyo jamaa. Kwasababu jamaa maelezo yake yapo very clear. Nyie mnachukua tu habari za mitandao bila hata kupata uthibitisho eti Zakazakaz ndio source ya taarifa. CAF haifanyi ranking katikati ya mashindano ni mpaka mashindano yaishe ndio wanatoa ranking.

Haya mbona kwenye huyo Zakazakaz hujamalizia kusoma pale aliposema angalizo?
Inatakiwa mods wawapime watu akili zao maana wamekuwa zoa zoa tu wa taarifa pasipo kutumia akili.
 
bado safari haijaisha al benghaz ya libya wakifanya maajabu wakafika robo au nusu huko federation halafu simba na namungo wakaharibu libya watachukua nafasi yao ya 12
 
Utopolo aka vyura waanze kutuamkia.

Maana miaka ya ya hivi karibuni hawapati nafasi kuwakilisha nchi mpaka baba lao Simba akinukishe
Yanga anakuwasha nn? Usiombe ukakutana nae tena msimu huu iwe Mapinduzi au Ligi atakudharilisha,muda utasema
 
Hiyo itaisaidia Simba Kama itamaliza ligi ya pili mbele ya Azam, maana Yanga ataenda Champions League mwakani Kama bingwa wa VPL
Kweli kabisa.Msimu huu kombe la Yanga ,yule Mwarabu alivyo na hasira atawakimbia
 
Ni Mpumbavu tu pekee ndiyo atabisha kuwa bado Simba SC itabeba tena VPL mwaka huu ingawaje Mimi siyo Mshabiki wa Simba SC au Yanga SC.
Kwa ushindi wa goli 4 kwa platinum imekula jeuri wakati ukicheza na mtibwa wamekufunga,bado wengine watakufunga pia .malengo ya Yanga msimu huu Ni kutokufungwa mechi hata moja mpaka Ubingwa.
 
Unaweza kuta yule nyau alikuwa wa Yanga na yule mdingi alikuwa kugagula wa Simba...

Wote walikuja kuhakikisha ushindi unapatikana ili CAF waweke mambo waaaah!!!

Hizo timu za Kariakoo ni damu damu, upinzani wao ni wa kimaneno tu
 
Sasa huyo ndio website ya CAF , kusikia tu kwa huyo Jamaa umekurupukaa mbio kuja kusema CAF , haya badilisha Uzi wako , ni taarifa kutoka kwa huyo sijui ndio zaka , maana kwenye website ya CAF haipo hiyo habari, usipende kukurupuka
Ni kwanini Suala hili la Simba SC kutengeneza nafasi Nne kwa Timu zingine za Tanzania Yanga SC ikiwemo limekuuma na umechukia nalo sana tu?
 
Sijaona hii taarifa kwenye mtandao wa CAF. na pia CAF wanafanya 5 year ranking baada ya mashindano kumalizika na wala sio timu zikiingia makundi tu. Kwa kila hatua timu inayofikia kunakuwa na point zake. Tanzania inashika nafasi ya 13 mpaka sasa kwa kutumia 5 year ranking ya msimu wa
(2016 -2020) na waliopo juu yetu wote timu zao zimefuzu kwenda hatua ya makundi kasoro inch ya Nigeria, Libya na Zambia ambazo timu zao zimeshindwa kwenda hatua ya makundi hivyo kuangukia kwenye play off ya shirikisho. Hivyo hizo nchi zinaweza kutetea nafasi zao endapo zitafuzu kwenye group stage kombe la shirikisho wataiongezea point inchi zao.

Na wakifika mbali zaidi ya hatua hiyo basi na point pia zitakuwa zinaongezeka. Hivyo Caf hawawezi kutoa award points kabla ya mashindano kumalizika. Kikubwa kuiombea Namungo wafuzu ili kazi ya kuiongezea taifa point iwe nyepesi kwa kuwa na timu mbili, na la pili ni kuniziombea timu zetu zote mbili zifike mbali zaidi. Na Cha tatu ni kuziombea zile inchi 12 zilizo juu yetu basi inchi moja wapo timu yakw ishindwe kwenda hatua za juu zaidi ili wasiongeze point.

N.b
Caf wanaruhusu inchi 12 tu ndizo ziinazoingiza timu nne kwenye michuano ya kimataifa kwa kuzingatia record ya performance ya timu zao ndani ya misimu mitano kwenye ngazi ya champions league na confederation cup
Hesabu point za miaka mitano na huu uhesabu kurudi nyuma!So point hizi jumli na zile za mwaka juzi basi na kurudi nyuma,utakuta point hizi zimeongezea!
Kajiridhishe kwanza kabla hujaja hapa!

Hapo labda Libya afanye maajabu kitu ambacho ni ngumu!
 
Nasisitiza Maamuzi haya ya CAF siyo kwa Ushindi wa Namungo FC bali ni kwa Ushindi mnono wa Simba SC na Kufuzu Kwake Makundi CL iliyopo.

Taarifa: Mtandao rasmi wa CAF

Ni matumaini yangu sasa Timu zingine zote hasa ile yenye Washamba wengi nchini Tanzania itaitii na Kushukuru kubebwa sana tu na Simba SC.
Ndio lazima mwakan tuwe na timu nne kutoka TZ
 
Yanga anakuwasha nn? Usiombe ukakutana nae tena msimu huu iwe Mapinduzi au Ligi atakudharilisha,muda utasema
Sisi tunaongea na akina Zamalek, TP Mazembe, Wydad Casablanca nk
Yanga kitu gani bana.
Mtafute mtu wa Stand united muongee mambo yenu
 
Back
Top Bottom