Baada ya Siwa kutoka idara ya Usalama, Rais Samia ututolee mawaziri wafuatao

Baada ya Siwa kutoka idara ya Usalama, Rais Samia ututolee mawaziri wafuatao

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Kweli hao ni donda ndugu, je wakiondoka mambo yatakuwa sawa? Hapana. Hata mama akiondoka, je mambo yatakuwa sawa? Hapana, kuna msoga...

Kuna kakikundi cha watu, Tz ni kama mali yao. Mpaka hao wapukutike wote, si leo... ✍️
 
Back
Top Bottom