Baada ya Siwa kutoka idara ya Usalama, Rais Samia ututolee mawaziri wafuatao

4. Ummy Mwalimu
5. Aweso
6. Masauni
7. Suleman Jafo
8. Ashatu
9. Huseni Bashe
Kwenye taarifa ya habari leo saa mbili nikiwa bar niliona Kuna taasisi Fulani Leo imeipa wizara ya kilimo $40,000 nikamuona tajiri Bashe (the new bilionea in town, thanks to the sugar scandal) kwa unyooonge kabisa anasema hizo pesa zisitumike kuendeshea seminar.

Bar maid mmoja akawa anashangaa na kusema ' hivi Bashe bado ni waziri???'
 
😆😆😆
 
Back
Top Bottom