Al maktoum
JF-Expert Member
- Nov 23, 2022
- 499
- 678
Inashangaza sana!Kuna mmoja hapo anapendwa na bi mkubwa balaa,halafu design kama walipa Kodi hatumuelewi kabisa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana!Kuna mmoja hapo anapendwa na bi mkubwa balaa,halafu design kama walipa Kodi hatumuelewi kabisa!!
Atakuwa mnufaikaYaani wewe hata mwigulu unaona Yuko vizuri ?!
Kwa kuweka majina ya waislamu watupu lazima tuelewe kuwa unasumbuliwa na maradhi ya udini!!4. Ummy Mwalimu
5. Aweso
6. Masauni
7. Suleman Jafo
8. Ashatu
9. Huseni Bashe
Kibaya huwa wanajiona wako makini sanaHapo umenena kiongozi.jinsi Tanzania ilivyo tajiri wa vijana wenye talents na AKILI inashangaza serikali ya SAMIA kuwa na vijana wachovu kama hao kwenye wizara zake.ni ajabu sana na inasikitisha sana.
Mwigulu hata umuweke chumvi, raia wameshamchoka.Yaani wewe hata mwigulu unaona Yuko vizuri ?!
Kama huyo NAPE na swala la bando ujue anaongeza umasikini kwa kuuza bando bei ya juu maana ulimwengu wa kidigital vijana wengi wanafelishwa ni hili jambo
Then tuweke chadema ambao mwenyekiti ni mfalme aishiye milele?Kuwaondoa mawaziri watatu haitasaidia kitu. Suluhisho ni kuwaondoa Ccm madarakani.
Sawa Sa100, we tuchezee tu na nchi yetu...2025 sio mbali tutakurudisha Kizimkazi!.Sasa huyo mteuliwa kama hujui hao uliwataja ndio wamependekeza Hilo,,Kama Una lingine semaa,,hao hawatoki##FarikiTuu##
usije ukarudi kutulilia chawa wa Mama wakimuongezea muda wa kukaa madarakani "atake asitake."Then tuweke chadema ambao mwenyekiti ni mfalme aishiye milele?
Kama mnadhani sisi sote ni nyumbu basi mtasubiri sana!