Baada ya Siwa kutoka idara ya Usalama, Rais Samia ututolee mawaziri wafuatao

Baada ya Siwa kutoka idara ya Usalama, Rais Samia ututolee mawaziri wafuatao

Kwa kumtumia mzee Mbowe anaendekeza ukabila ?
kuwaondoa CCM madarakani kutawafanya watawala wawaheshimu wananchi. Kila aliyechaguliwa atajua wananchi wanaweza kumuondoa asipotatua changamoto zao.

Mfumo na utamaduni ulioko sasa hivi ni wa wananchi kuwaogopa na kuwanyenyekea viongozi. Matokeo yake viongozi wanakuwa wazembe, wala rushwa, na walaghai.
 
Binafsi nina Imani sana na Mombo Suleiman, baada ya uteuzi huu Rais Samia tutolee mawaziri wafuatao na Nchi itakwenda tu bila hawa :-

1 . January Makamba

2. Mwigulu Mchemba

3. Nape Nnauye

Hakuna mtu mkubwa zaidi ya Tanzania, hawa ni zaidi mifumo ndani ya mfumo .

Soma pia: Uteuzi: Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu
Sawa sawa kabisa, hawa jamaa ni vilaza na ndiyo maana Magufuli aliwatema mapemaaaa, hawafai hata kuwa wakuu wa Wilaya
 
Binafsi nina Imani sana na Mombo Suleiman, baada ya uteuzi huu Rais Samia tutolee mawaziri wafuatao na Nchi itakwenda tu bila hawa :-

1 . January Makamba

2. Mwigulu Mchemba

3. Nape Nnauye

Hakuna mtu mkubwa zaidi ya Tanzania, hawa ni zaidi mifumo ndani ya mfumo .

Soma pia: Uteuzi: Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu
Akutolee wewe ukiwa kama nani? Yeye bado ana Imani nao na anaona wanamsaidia katika uongozi wake
 
Namba moja na namba Tatu yaan Makamba na nape wa naondoka, keep this na makamba alipanga Mpaka kupindua SERIKALI kupitia SIWA na watu wake, keep this baada ya ziara ya kusini kuna mkeka

Kuna memba mwenzetu, Tumia akili kapotea kitambo jukwaani, bila shaka washagundua ni nani.
 
Back
Top Bottom