Baada ya Siwa kutoka idara ya Usalama, Rais Samia ututolee mawaziri wafuatao

Ni kweli leo amenyongwa kisiasa
 
Namba moja na namba Tatu yaan Makamba na nape wa naondoka, keep this na makamba alipanga Mpaka kupindua SERIKALI kupitia SIWA na watu wake, keep this baada ya ziara ya kusini kuna mkeka

Britanicca
Hiyo Si ni treason kwanini wako hai?
 
Treason ni kupindua kwa upanga au mtutu Ila hii ya kupanga njama za kumdhoofisha kwenye chama ili akataliwe ni different!

Alafu kwa nyakati hizi treason inadiliwa softly na mtu kupotezwa taratibu si Kama zama za miaka ya 70
Sasa kama walijaribu na wanaachwa waendelee kujaribu Si Kuna siku watafanikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…