Baada ya Tanzania kubania wageni kufanya biashara nchini, Kenya imejibu mapigo

Upuuzi mkubwa huu SI tunalia na wachina we UNAENDA piga marufuku WA Kenya. Madhara ni makubwa SHIDA ya KUWEKA WATU wasio na sifa NDO hii. HIVI hatuja jifunza yaliyo tokea afrika kusini KUHUSU vita na wageni KWENYE BIASHARA HIVI gen z Wakilii anzisha watanzania wenzetu wataponea wapi?

Kwishaaaaa
Wewe sasa ndio mpuuzi.
Serikali ya Tanzania haijamlenga Mkenya,baki imelenga mataifa yote ulimwenguni.
Biashara ndogo ndogo 15 zilizoorodheshwa ni za kufanywa na raia husika,raia wa kigeni wekeza kwenye biashara zinginezo.
Mbona Uganda, Rwanda,Burundi,Malawi hawajalalamika?
Kwani jirani yetu ni Kenya peke yake!??
Kwa taarifa yako hao Gen Z walifanya yasiyofaa wataiumiza zaidi Kenya Wala sio Tanzania.
 
Sahihi mkuu.
Tatizo wakenya wanajikutaga kama wao ndio majirani pekee.
 
Wewe sasa ndio mpuuzi.
Serikali ya Tanzania haijamlenga Mkenya,baki imelenga mataifa yote ulimwenguni.
Biashara ndogo ndogo 15 zilizoorodheshwa ni za kufanywa na raia husika,raia wa kigeni wekeza kwenye biashara zinginezo.
Mbona Uganda, Rwanda,Burundi,Malawi hawajalalamika?
Kwani jirani yetu ni Kenya peke yake!??
Kwa taarifa yako hao Gen Z walifanya yasiyofaa wataiumiza zaidi Kenya Wala sio Tanzania.
Hujatembea shishangai NAHISI hujawai FIKA hata Nairobi HAPO, ukajionea HALI ya wabongo ILIVO, wamesambaa MPAKA unashindwa kutofautiaha tz na kenya. We sikutofautishi na wale wenzako wanao lalamikia wachezaji WA kigeni wamekua WENGI ALAF at same time wanawashauri wachezaji WA ndani wakacheze NJE.Mnaendaga kufanya Nini NJE kama hamtaki WATU waje KWENu.Sheria ya biashara kwa nchi za SADC kipindi zinatungwa na kujadiliwa RAIS wenu ALIKUA amelala? Au hamkujua madhara yake SIKU za usoni. NDO akili ZAKO TU zilivo ukitaka kula sharti uliwe. We unaleta kisirani kwa wenzio WAO wakijibu mnalalamika. unazani a kusini walianza JE au hata hujui CHOCHOTE we ni ndio tu. Ubuyu ulianza kama mchicha.

Kwishaaa
 
Kusema ukweli serikali hawa jatenda haki kabisa, kwa sababu hata watz wapo wengi tu kwenye inchi za watu, wana tafuta maisha.

Mm naona kilicho pelekea kupitisha hiyo Sheria ni pressure ya uchaguzi tu ili wapate wapiga kura hakuna kingine.
Acha kila kitu kufikiria siasa,hivi unajua wachina wameingia hadi kwenye udalali hapa Tanzania
 
Kusema ukweli serikali hawa jatenda haki kabisa, kwa sababu hata watz wapo wengi tu kwenye inchi za watu, wana tafuta maisha.

Mm naona kilicho pelekea kupitisha hiyo Sheria ni pressure ya uchaguzi tu ili wapate wapiga kura hakuna kingine.
Mkuu waweza kuwa uko sahihi,sasa wapiga kura gani wakati uchaguzi wako wao wenyewe?
 
Acheni unafiki uliojaa uzandiki! Wachina tuu waliwatoa jasho Leo hiii mnawapigania wakenya ambao na wao wakishika siko mtaanza matarumbeta humu humu, mjitahid kuridhika mnavyo piganiwa! Nakumbuka Hao wakenya walifanya biashara ya mayai wabongo Wali lialia Sana humu! Kuweni na shukrani na viongozi wenu wanapotetea maslahi ya taifa na uchumi kwa wafanya biashara wadogo!
 
Hujatembea shishangai NAHISI hujawai FIKA hata Nairobi HAPO, ukajionea HALI ya wabongo ILIVO, wamesambaa MPAKA unashindwa kutofautiaha tz na kenya. We sikutofautishi na wale wenzako wanao lalamikia wachezaji WA kigeni wamekua WENGI ALAF at same time wanawashauri wachezaji WA ndani wakacheze NJE.Mnaendaga kufanya Nini NJE kama hamtaki WATU waje KWENu.Sheria ya biashara kwa nchi za SADC kipindi zinatungwa na kujadiliwa RAIS wenu ALIKUA amelala? Au hamkujua madhara yake SIKU za usoni. NDO akili ZAKO TU zilivo ukitaka kula sharti uliwe. We unaleta kisirani kwa wenzio WAO wakijibu mnalalamika. unazani a kusini walianza JE au hata hujui CHOCHOTE we ni ndio tu. Ubuyu ulianza kama mchicha.

Kwishaaa
Ndipo mnapokimbilia ooh hujatembea oooh hivi.
Wewe ulifanya sensa na kuhakikisha kuwa Watanzania ndio wapo wengi Kenya kuliko wakenya waliopo Tanzania!?
Embu tupe hizo takwimu kama ulifanya hiyo sensa.
Maana hata huku Kigamboni wamejazana tele kufuru ya rahmani hususan wataita.
Katazo la dunia nzima kwanini Kenya peke yake walalamike?
Mbona Uganda,Rwanda na Burundi hawajalalamika?
DR Congo mbona hawajalalamika?
Zilizokatazwa biashara ndogo ndogo 15,hizo zingine wafanye wanavyotaka.
Hii Kenya unayoisifia Ina mabaya mengi kwa Tanzania kuliko unavyodhani.
Hata kuvunjika kwa EAC 1977 chanzo kikubwa ni Kenya.
Nadhani huijui vizuri hiyo nchi.
 
Acheni unafiki uliojaa uzandiki! Wachina tuu waliwatoa jasho Leo hiii mnawapigania wakenya ambao na wao wakishika siko mtaanza matarumbeta humu humu, mjitahid kuridhika mnavyo piganiwa! Nakumbuka Hao wakenya walifanya biashara ya mayai wabongo Wali lialia Sana humu! Kuweni na shukrani na viongozi wenu wanapotetea maslahi ya taifa na uchumi kwa wafanya biashara wadogo!
Ndio Mimi nashangaa Yani Tanzania tumekua na roho na akili za kinafiki nafiki sana.
Ndio maana hata Kuna muda Mungu anatunyoosha kimakusudi kwa unafiki tunaoundekeza.
 
Ndipo mnapokimbilia ooh hujatembea oooh hivi.
Wewe ulifanya sensa na kuhakikisha kuwa Watanzania ndio wapo wengi Kenya kuliko wakenya waliopo Tanzania!?
Embu tupe hizo takwimu kama ulifanya hiyo sensa.
Maana hata huku Kigamboni wamejazana tele kufuru ya rahmani hususan wataita.
Katazo la dunia nzima kwanini Kenya peke yake walalamike?
Mbona Uganda,Rwanda na Burundi hawajalalamika?
DR Congo mbona hawajalalamika?
Zilizokatazwa biashara ndogo ndogo 15,hizo zingine wafanye wanavyotaka.
Hii Kenya unayoisifia Ina mabaya mengi kwa Tanzania kuliko unavyodhani.
Hata kuvunjika kwa EAC 1977 chanzo kikubwa ni Kenya.
Nadhani huijui vizuri hiyo nchi.
Nashukuru mkuu umeni fungua SASA tuendelee kuelimishana mkuu🙏🙏🙏🙏

Kwishaaaaa
 
Hao Wakenya wakikamatwa wapelekwe jela na watozwe faini Tanzania sio shamba la bibi vibaka wanatoka Kenya kuja kuuza ndizi au kufungua saluni hizo kazi wakafanyie Machakos
Mkuu uko na wivu ya kike. What ails you?
 
Tanzania ni nchi ya kipumbavu sana. Huwa wanafanya maamuzi bila kutumia akili. Kenya ni nchi makini sana, inaongozwa na viongozi wenye akili na wanaojitambua. Sijawahi kuona nchi makini kama Kenya na sijawahi kuona nchi ya kishetani kama Tanzania hapa Ulimwenguni.
Hamia Kenya tu
 
Back
Top Bottom