Wewe sasa ndio mpuuzi.Upuuzi mkubwa huu SI tunalia na wachina we UNAENDA piga marufuku WA Kenya. Madhara ni makubwa SHIDA ya KUWEKA WATU wasio na sifa NDO hii. HIVI hatuja jifunza yaliyo tokea afrika kusini KUHUSU vita na wageni KWENYE BIASHARA HIVI gen z Wakilii anzisha watanzania wenzetu wataponea wapi?
Kwishaaaaa
Ujinga hapo uko wapi? Kuleni hicho kiingereza chenu swain.Kwa hiyo Tanzania mmeanzisha huo utaratibu wa kikoloni kwa ajili ya kutukomoa wakenya au ni namna gani? Acheni ujinga yenu.
Sahihi mkuu.Wewe sasa ndio mpuuzi.
Serikali ya Tanzania haijamlenga Mkenya,baki imelenga mataifa yote ulimwenguni.
Biashara ndogo ndogo 15 zilizoorodheshwa ni za kufanywa na raia husika,raia wa kigeni wekeza kwenye biashara zinginezo.
Mbona Uganda, Rwanda,Burundi,Malawi hawajalalamika?
Kwani jirani yetu ni Kenya peke yake!??
Kwa taarifa yako hao Gen Z walifanya yasiyofaa wataiumiza zaidi Kenya Wala sio Tanzania.
Hujatembea shishangai NAHISI hujawai FIKA hata Nairobi HAPO, ukajionea HALI ya wabongo ILIVO, wamesambaa MPAKA unashindwa kutofautiaha tz na kenya. We sikutofautishi na wale wenzako wanao lalamikia wachezaji WA kigeni wamekua WENGI ALAF at same time wanawashauri wachezaji WA ndani wakacheze NJE.Mnaendaga kufanya Nini NJE kama hamtaki WATU waje KWENu.Sheria ya biashara kwa nchi za SADC kipindi zinatungwa na kujadiliwa RAIS wenu ALIKUA amelala? Au hamkujua madhara yake SIKU za usoni. NDO akili ZAKO TU zilivo ukitaka kula sharti uliwe. We unaleta kisirani kwa wenzio WAO wakijibu mnalalamika. unazani a kusini walianza JE au hata hujui CHOCHOTE we ni ndio tu. Ubuyu ulianza kama mchicha.Wewe sasa ndio mpuuzi.
Serikali ya Tanzania haijamlenga Mkenya,baki imelenga mataifa yote ulimwenguni.
Biashara ndogo ndogo 15 zilizoorodheshwa ni za kufanywa na raia husika,raia wa kigeni wekeza kwenye biashara zinginezo.
Mbona Uganda, Rwanda,Burundi,Malawi hawajalalamika?
Kwani jirani yetu ni Kenya peke yake!??
Kwa taarifa yako hao Gen Z walifanya yasiyofaa wataiumiza zaidi Kenya Wala sio Tanzania.
Wenyewe uwa wanakuambia Tanzania ni shamba la bibiWakenya wamemaindi Sana hii hatua
Acha kila kitu kufikiria siasa,hivi unajua wachina wameingia hadi kwenye udalali hapa TanzaniaKusema ukweli serikali hawa jatenda haki kabisa, kwa sababu hata watz wapo wengi tu kwenye inchi za watu, wana tafuta maisha.
Mm naona kilicho pelekea kupitisha hiyo Sheria ni pressure ya uchaguzi tu ili wapate wapiga kura hakuna kingine.
Kenya wao ndio watakao nyoosha mikono kwani kwao kuna ukame sana na chakula wanaitegemea Tz,ndio maana wamejazana sana huko mashambani kutafuta vyakula.Vipi biashara za mazao kama mahindi maana pale Tunduma soko la mataifani wakenya ni kama nyumbani kwao aisee!!!
Mkuu waweza kuwa uko sahihi,sasa wapiga kura gani wakati uchaguzi wako wao wenyewe?Kusema ukweli serikali hawa jatenda haki kabisa, kwa sababu hata watz wapo wengi tu kwenye inchi za watu, wana tafuta maisha.
Mm naona kilicho pelekea kupitisha hiyo Sheria ni pressure ya uchaguzi tu ili wapate wapiga kura hakuna kingine.
Ndipo mnapokimbilia ooh hujatembea oooh hivi.Hujatembea shishangai NAHISI hujawai FIKA hata Nairobi HAPO, ukajionea HALI ya wabongo ILIVO, wamesambaa MPAKA unashindwa kutofautiaha tz na kenya. We sikutofautishi na wale wenzako wanao lalamikia wachezaji WA kigeni wamekua WENGI ALAF at same time wanawashauri wachezaji WA ndani wakacheze NJE.Mnaendaga kufanya Nini NJE kama hamtaki WATU waje KWENu.Sheria ya biashara kwa nchi za SADC kipindi zinatungwa na kujadiliwa RAIS wenu ALIKUA amelala? Au hamkujua madhara yake SIKU za usoni. NDO akili ZAKO TU zilivo ukitaka kula sharti uliwe. We unaleta kisirani kwa wenzio WAO wakijibu mnalalamika. unazani a kusini walianza JE au hata hujui CHOCHOTE we ni ndio tu. Ubuyu ulianza kama mchicha.
Kwishaaa
Ndio Mimi nashangaa Yani Tanzania tumekua na roho na akili za kinafiki nafiki sana.Acheni unafiki uliojaa uzandiki! Wachina tuu waliwatoa jasho Leo hiii mnawapigania wakenya ambao na wao wakishika siko mtaanza matarumbeta humu humu, mjitahid kuridhika mnavyo piganiwa! Nakumbuka Hao wakenya walifanya biashara ya mayai wabongo Wali lialia Sana humu! Kuweni na shukrani na viongozi wenu wanapotetea maslahi ya taifa na uchumi kwa wafanya biashara wadogo!
Nashukuru mkuu umeni fungua SASA tuendelee kuelimishana mkuu๐๐๐๐Ndipo mnapokimbilia ooh hujatembea oooh hivi.
Wewe ulifanya sensa na kuhakikisha kuwa Watanzania ndio wapo wengi Kenya kuliko wakenya waliopo Tanzania!?
Embu tupe hizo takwimu kama ulifanya hiyo sensa.
Maana hata huku Kigamboni wamejazana tele kufuru ya rahmani hususan wataita.
Katazo la dunia nzima kwanini Kenya peke yake walalamike?
Mbona Uganda,Rwanda na Burundi hawajalalamika?
DR Congo mbona hawajalalamika?
Zilizokatazwa biashara ndogo ndogo 15,hizo zingine wafanye wanavyotaka.
Hii Kenya unayoisifia Ina mabaya mengi kwa Tanzania kuliko unavyodhani.
Hata kuvunjika kwa EAC 1977 chanzo kikubwa ni Kenya.
Nadhani huijui vizuri hiyo nchi.
Mkuu uko na wivu ya kike. What ails you?Hao Wakenya wakikamatwa wapelekwe jela na watozwe faini Tanzania sio shamba la bibi vibaka wanatoka Kenya kuja kuuza ndizi au kufungua saluni hizo kazi wakafanyie Machakos
Kama hauna mtaji usijaribu kuvuka boda kuja Tanzania kuuza ndizi au kusuka Rasta hizo kazi Tanzania hatutaki kwa vibaka wa aina yenu. ukivuka boda njoo na mtaji mkubwa vingine utaishia jela na kupakwa mafuta.Mkuu uko na wivu ya kike. What ails you?
Hamia Kenya tuTanzania ni nchi ya kipumbavu sana. Huwa wanafanya maamuzi bila kutumia akili. Kenya ni nchi makini sana, inaongozwa na viongozi wenye akili na wanaojitambua. Sijawahi kuona nchi makini kama Kenya na sijawahi kuona nchi ya kishetani kama Tanzania hapa Ulimwenguni.
Kwani hapa kwenyu kuna nini? Iam already fed up with your crooked deeds.Hamia Kenya tu