Baada ya uchaguzi kukamilika hatuwezi kukaa vyama vyote tukaunda serikali pamoja?

Baada ya uchaguzi kukamilika hatuwezi kukaa vyama vyote tukaunda serikali pamoja?

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
268
Habari

Nashauri baada ya uchaguzi inawezekana kabisa tukakaa pamoja wale walioshinda na vyama vyote vya upinzani tukaunda serikali na serikali ikawa na viongozi kutoka kwenye chama chochote ili mradi ana uwezo mzuri wa kufanya kazi sio lazima waziri atoke ccm inawezekana akatoka chauma au act inatakiwa ifike mda tupende nchi kuliko chama.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom