Watanunua Utopolo wenzie hicho kitabu. Huyo chizi aandike kitabu nikisome, si kitakuwa kimejaa matusi..Lissu anaweza kuandika, kufundisha, na kutoa mihadhara.
..kuna kitabu ameandika cha masuala ya katiba na utawala kitatoka hivi karibuni.
Watanunua Utopolo wenzie hicho kitabu. Huyo chizi aandike kitabu nikisome, si kitakuwa kimejaa matusi
kitaitwa CHAMA CHA KIKI NA MAIGIZO KWA MAENDELEO YA MABEBERU. (CHAKIMAMA)Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. sasa naangalia msg za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu linatamkwa sana. Hapa JF mashabiki wa CHADEMA wanahaha kila kona. Kusema hivi simchongei Lissu kufukuzwa ktk chama lakini naamini baada ya uchaguzi Mbowe hatavumilia sifa hizo kwa mtu mwingine.
Najua hataweza kutoboa nafasi ya urais sasa nisichojua, amejiandaaje kuishi ndani ya chama baada ya matokeo ya tar. 28? Watakao bahatisha ubunge watapata nafuu sana lakini itakuwa kwa idadi ndogo sana na haitawezesha CDM kupata ruzuku ya kumtunza mgombea kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa.
Kwa kifupi, Lissu utapata double impact; kutopendwa na M/kiti na hutakuwa na kipato cha kisiasa kama ulivyozoea. Jiandae kuunda chama chako.
Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. Sasa naangalia meseji za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu linatamkwa sana.
Hapa JF mashabiki wa CHADEMA wanahaha kila kona. Kusema hivi simchongei Lissu kufukuzwa katika chama, lakini naamini baada ya uchaguzi Mbowe hatavumilia sifa hizo kwa mtu mwingine.
Najua hataweza kutoboa nafasi ya urais sasa nisichojua, amejiandaaje kuishi ndani ya chama baada ya matokeo ya tar. 28? Watakao bahatisha ubunge watapata nafuu sana lakini itakuwa kwa idadi ndogo sana na haitawezesha CDM kupata ruzuku ya kumtunza mgombea kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa.
Kwa kifupi, Lissu utapata double impact; kutopendwa na M/kiti na hutakuwa na kipato cha kisiasa kama ulivyozoea.
Jiandae kuunda chama chako.
Asante kwa kumkumbusha!Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. Sasa naangalia meseji za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu linatamkwa sana.
Hapa JF mashabiki wa CHADEMA wanahaha kila kona. Kusema hivi simchongei Lissu kufukuzwa katika chama, lakini naamini baada ya uchaguzi Mbowe hatavumilia sifa hizo kwa mtu mwingine.
Najua hataweza kutoboa nafasi ya urais sasa nisichojua, amejiandaaje kuishi ndani ya chama baada ya matokeo ya tar. 28? Watakao bahatisha ubunge watapata nafuu sana lakini itakuwa kwa idadi ndogo sana na haitawezesha CDM kupata ruzuku ya kumtunza mgombea kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa.
Kwa kifupi, Lissu utapata double impact; kutopendwa na M/kiti na hutakuwa na kipato cha kisiasa kama ulivyozoea.
Jiandae kuunda chama chako.
Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. Sasa naangalia meseji za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu linatamkwa sana.
Hapa JF mashabiki wa CHADEMA wanahaha kila kona. Kusema hivi simchongei Lissu kufukuzwa katika chama, lakini naamini baada ya uchaguzi Mbowe hatavumilia sifa hizo kwa mtu mwingine.
Najua hataweza kutoboa nafasi ya urais sasa nisichojua, amejiandaaje kuishi ndani ya chama baada ya matokeo ya tar. 28? Watakao bahatisha ubunge watapata nafuu sana lakini itakuwa kwa idadi ndogo sana na haitawezesha CDM kupata ruzuku ya kumtunza mgombea kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa.
Kwa kifupi, Lissu utapata double impact; kutopendwa na M/kiti na hutakuwa na kipato cha kisiasa kama ulivyozoea.
Jiandae kuunda chama chako.
Ujinga wake ni nini? Wakati yeye anawaambia ukweli. Ukweli utabakikuwa ni ukweli hata kama unauma.mtu mzima unakaa kupost ujinga, hivi kwenu wanataarifa kua wanakuheshimugi bure tu kumbe ww ni mjinga?
Upuuzi wakati kila kitu kinajulikana. Kwani kina siri hapo?UPUUZI MTUPU!
Bora iwe hivyo kuliko kumuona Magufuli akiburuzwa The Hegue huku afya yake ikiwa mgogoro kwa wizi wa kura.Na hivi Tundu anaropoka tu bila kujali kuwa ruzuku safari hii ni ndogo na hiyo hiyo ruzuku Mnyika nae anaikodolea macho, sasa utakuwa wakat muafaka kupiga miayo na kurudi kwa mabwana zake
Hiyo ndo ilani yenu ya chama Cha mafisi?Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. Sasa naangalia meseji za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu linatamkwa sana.