damper
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 869
- 922
Tuliza tako dawa iingie ole wako sindano ivunjikie kwenye tako lako utalipa.mtu mzima unakaa kupost ujinga, hivi kwenu wanataarifa kua wanakuheshimugi bure tu kumbe ww ni mjinga?

Tangu upate Bwana Msukuma basi unahisi kila mtu ana BwanaNa hivi Tundu anaropoka tu bila kujali kuwa ruzuku safari hii ni ndogo na hiyo hiyo ruzuku Mnyika nae anaikodolea macho, sasa utakuwa wakat muafaka kupiga miayo na kurudi kwa mabwana zake
Ukweli kwamba mmeolewa ?Ujinga wake ni nini? Wakati yeye anawaambia ukweli. Ukweli utabakikuwa ni ukweli hata kama unauma.
Haya ngoja tuone hapa chini mwitikio uko je boss?Lumumba mnabwabwaja sana, ila jueni, mwitikio kule field siyo mwitikio wa nyuma ya keyboard. Wananchi wameamua, nyie mjidangnaye huku na ID zenu kumi kumi
Mnahangaika sana nyie akina Mayanga Construction, Mbowe hana shida wala hapendi kujulikana yeye ndio maana kwa furaha kubwa alimwalika hata aliyekuwa mwana ccm kugombea urais na yeye akakaa pembeni, na amefanya hivyo tena mwaka huu amejiweka pembeni akamwacha mpakwa mafuta wa Bwana, T.A. Lissu, Mbowe ni mtu wa pekee na kiongozi asiye na makuu hata kidogo.Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. Sasa naangalia meseji za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu linatamkwa sana.
Hapa JF mashabiki wa CHADEMA wanahaha kila kona. Kusema hivi simchongei Lissu kufukuzwa katika chama, lakini naamini baada ya uchaguzi Mbowe hatavumilia sifa hizo kwa mtu mwingine.
Najua hataweza kutoboa nafasi ya urais sasa nisichojua, amejiandaaje kuishi ndani ya chama baada ya matokeo ya tar. 28? Watakao bahatisha ubunge watapata nafuu sana lakini itakuwa kwa idadi ndogo sana na haitawezesha CDM kupata ruzuku ya kumtunza mgombea kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa.
Kwa kifupi, Lissu utapata double impact; kutopendwa na M/kiti na hutakuwa na kipato cha kisiasa kama ulivyozoea.
Jiandae kuunda chama chako.
Umeingia chaka...Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. Sasa naangalia meseji za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu linatamkwa sana.
Hapa JF mashabiki wa CHADEMA wanahaha kila kona. Kusema hivi simchongei Lissu kufukuzwa katika chama, lakini naamini baada ya uchaguzi Mbowe hatavumilia sifa hizo kwa mtu mwingine.
Najua hataweza kutoboa nafasi ya urais sasa nisichojua, amejiandaaje kuishi ndani ya chama baada ya matokeo ya tar. 28? Watakao bahatisha ubunge watapata nafuu sana lakini itakuwa kwa idadi ndogo sana na haitawezesha CDM kupata ruzuku ya kumtunza mgombea kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa.
Kwa kifupi, Lissu utapata double impact; kutopendwa na M/kiti na hutakuwa na kipato cha kisiasa kama ulivyozoea.
Jiandae kuunda chama chako.
Haya ngoja tuone hapa chini mwitikio uko je boss?
View attachment 1581890
Mkuu Lissu anaweza Literature Keizirege wanaweza kumfikiria, na kwa vile anaweza midahalo itamuongezea sifa.Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. Sasa naangalia meseji za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu linatamkwa sana.
Hapa JF mashabiki wa CHADEMA wanahaha kila kona. Kusema hivi simchongei Lissu kufukuzwa katika chama, lakini naamini baada ya uchaguzi Mbowe hatavumilia sifa hizo kwa mtu mwingine.
Najua hataweza kutoboa nafasi ya urais sasa nisichojua, amejiandaaje kuishi ndani ya chama baada ya matokeo ya tar. 28? Watakao bahatisha ubunge watapata nafuu sana lakini itakuwa kwa idadi ndogo sana na haitawezesha CDM kupata ruzuku ya kumtunza mgombea kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa.
Kwa kifupi, Lissu utapata double impact; kutopendwa na M/kiti na hutakuwa na kipato cha kisiasa kama ulivyozoea.
Jiandae kuunda chama chako.
Hizo ndizo kazi anazoweza na ndicho anachotakiwa kufanya. Haya mambo mengine anajidanganya yeye na maZWAZWA yanayomfuata...Lissu anaweza kuandika, kufundisha, na kutoa mihadhara.
..kuna kitabu ameandika cha masuala ya katiba na utawala kitatoka hivi karibuni.
Kumbe na chat na kichaa!!Mnasomba kwa malori, fuso, canter, trekta, basi, daladala, na bado mnawalipa, bado mnalazimisha kufunga shule ili wanafunzi wote wajae uwanjani. Mnaishi siasa feki kila kitu feki. Mnashinda humu kupost ili ukalipwe hela ya makande, ndo maisha yenu. Hata wewe unaandika haya kwa sababu unanufaika lakini kimoyo moyo najua unaenda kumpigia kura Lissu
Kwenye orodha ya Mburula waliokupa kama angekuwemo John yaani John mwenye akili....!!Watanunua Utopolo wenzie hicho kitabu. Huyo chizi aandike kitabu nikisome, si kitakuwa kimejaa matusi
Mimi namshauri asiunde chama, bali aende akafanye ka kazi atakakopangiwa na Rais Magufuli kama Ukatibu Tarafa!Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. Sasa naangalia meseji za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu linatamkwa sana.
Hapa JF mashabiki wa CHADEMA wanahaha kila kona. Kusema hivi simchongei Lissu kufukuzwa katika chama, lakini naamini baada ya uchaguzi Mbowe hatavumilia sifa hizo kwa mtu mwingine.
Najua hataweza kutoboa nafasi ya urais sasa nisichojua, amejiandaaje kuishi ndani ya chama baada ya matokeo ya tar. 28? Watakao bahatisha ubunge watapata nafuu sana lakini itakuwa kwa idadi ndogo sana na haitawezesha CDM kupata ruzuku ya kumtunza mgombea kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa.
Kwa kifupi, Lissu utapata double impact; kutopendwa na M/kiti na hutakuwa na kipato cha kisiasa kama ulivyozoea.
Jiandae kuunda chama chako.
Mkuu wako wengi kweli JF.Kumbe na chat na kichaa!!
Wa-TZ tangu lini tukasoma vitabu kumuwezesha mtunzi kunufaika? Sisi tunasoma magazeti na hasa ukurasa wa mwisho. Hata hivyo wapo magwiji walioandika vitabu vya maana kuliko yeye na haviuziki kiasi hicho!..Lissu anaweza kuandika, kufundisha, na kutoa mihadhara.