Baada ya uchaguzi, Lissu jiandae kuunda chama chako

Baada ya uchaguzi, Lissu jiandae kuunda chama chako

Lissu sio mwanasiasa ila ni mwanasheria, kuwa mwenyekiti wa wanasheria Tz poa
 
Vyama vya mfuniko kama hivi ndio chanzo kikubwa cha makundi ya waasi.
Vyama hivi vingeendelea kuwa vya watu makini kama dr Slaa, hakika CCM ingelia sana kama ilivyoonekana 2010. Tatizo ni kama haya yanayotokea kwa Lissu. Waliposhangiliwa kila mtu akataka sifa ziwe za kwake. Mbowe hakutaka kuzidiwa, tamaa ya pesa ikaongezeka badala ya kuitafuta dola. Slaa akawekwa kado na Lowasa akaletwa ili kuongeza ruzuku. Sasa ni historia tu!

Lissu anaposhangiliwa ni wazi kisha vimba kichwa na kuamini ni maarufu na hizo ni kura kwake. Baada ya uchaguzi kwa tabia yake, lazima ataingia mgoggolo na Mbowe ambaye naye kaapa kuimiliki CHADEMA.
 
lissu baada ya uchaguzi attimkia kwenye nchi yake ubelgiji kutafuna michango iliochangiwa na mabeberu
 
We nae ni utopolo kama Yanga, kwani aliandikiwa ataishi kwa kutegemea ruzuku tuuu na ajira ya siasa,

Atajiajiri tuu kama wengine
 
Wa-TZ tangu lini tukasoma vitabu kumuwezesha mtunzi kunufaika? Sisi tunasoma magazeti na hasa ukurasa wa mwisho. Hata hivyo wapo magwiji walioandika vitabu vya maana kuliko yeye na haviuziki kiasi hicho!

..kama ulichosema ni kweli sidhani kama tunaweza kumlaumu Tundu Lissu.
 
Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. Sasa naangalia meseji za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu linatamkwa sana.

Hapa JF mashabiki wa CHADEMA wanahaha kila kona. Kusema hivi simchongei Lissu kufukuzwa katika chama, lakini naamini baada ya uchaguzi Mbowe hatavumilia sifa hizo kwa mtu mwingine.

Najua hataweza kutoboa nafasi ya urais sasa nisichojua, amejiandaaje kuishi ndani ya chama baada ya matokeo ya tar. 28? Watakao bahatisha ubunge watapata nafuu sana lakini itakuwa kwa idadi ndogo sana na haitawezesha CDM kupata ruzuku ya kumtunza mgombea kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa.

Kwa kifupi, Lissu utapata double impact; kutopendwa na M/kiti na hutakuwa na kipato cha kisiasa kama ulivyozoea.

Jiandae kuunda chama chako.
Kamati ya roho mbaya
 
Vyama hivi vingeendelea kuwa vya watu makini kama dr Slaa, hakika CCM ingelia sana kama ilivyoonekana 2010. Tatizo ni kama haya yanayotokea kwa Lissu. Waliposhangiliwa kila mtu akataka sifa ziwe za kwake. Mbowe hakutaka kuzidiwa, tamaa ya pesa ikaongezeka badala ya kuitafuta dola. Slaa akawekwa kado na Lowasa akaletwa ili kuongeza ruzuku. Sasa ni historia tu!

Lissu anaposhangiliwa ni wazi kisha vimba kichwa na kuamini ni maarufu na hizo ni kura kwake. Baada ya uchaguzi kwa tabia yake, lazima ataingia mgoggolo na Mbowe ambaye naye kaapa kuimiliki CHADEMA.
Wewe kenge endelea kudanga, mambo ya siasa huyawezi
 
..kama ulichosema ni kweli sidhani kama tunaweza kumlaumu Tundu Lissu.
Anasingiziwa tu! Hicho siyo kichwa cha kuandika kitabu. Mandela aliandika kitabu akiwa kifungoni, Lissu alijifunza kunyoa kiduku na kunywa wine akiwa ubelgiji.
 
..Lissu anaweza kuandika, kufundisha, na kutoa mihadhara.

..kuna kitabu ameandika cha masuala ya katiba na utawala kitatoka hivi karibuni.
Safi sana, lakini atakuwa na uvumilivu kuona Mbowe akitafuna ruzuku kwa kisingizio cha kulipa madeni hewa?
 
Kwa kweli kujifanya imara wakati hivi karibuni watu wamepata kisago kwa kuonesha niya ya kushindana na Mbowe, huko ni kujitia upofu. Mbowe hataki sifa zigawanywe. Lissi ajiandae tu maana naye mdomo mkubwa.
Sidhani kama huwa anapanga la kuongea au ni lazima ulimi ucheze mdomoni. Kwanza ajiulize kwa nini safari hii Kilimanjaro hawamshangilii kama miaka mingine?
 
Kwani Lissu aliwahi kuwa mgombea hiyo miaka mingine?

Uvccm reasoning mnaitumia wapi?
 
Na hivi Tundu anaropoka tu bila kujali kuwa ruzuku safari hii ni ndogo na hiyo hiyo ruzuku Mnyika nae anaikodolea macho, sasa utakuwa wakat muafaka kupiga miayo na kurudi kwa mabwana zake
Kule Hai pia M/kiti anaweza asirudi, Iringa na Mbeya haijulikani kutakuwaje. Hao wote watajikuta kwenye mgogoro wa kipato kwa mazoea ya nyuma.
 
Lissu ndo mwenyekiti ajaye wa chadema, ukweli mchungu huu
I see. Moto utawaka, hiko chama ni cha Mbowe na amepewa na Baba mkwe wake so ni mali halali ya mwenyekiti pamoja na nyie wanachama wake. Kama mtu hawezi Masharti, akaanzishe cha kwake kama Zitto alivyofanya. Usione michango, ruzuku zaliwa tu bila kuhoji wa kuna namna.
 
Lissu angekua wa hivyo angeshaunga juhudi ili kujilinda, Lakini hajaunga juhudi maana anajua alipo ni mahali sahihi.
Of course, ni Moja kati ya wapigaji wa ruzuku, michango pamoja na faru John.
 
Ni wiki ijayo tu, tutawasikia wakipalulana kwa kula pesa za ruzuku bila kuwashirikisha wengine.
 
Na hivi Tundu anaropoka tu bila kujali kuwa ruzuku safari hii ni ndogo na hiyo hiyo ruzuku Mnyika nae anaikodolea macho, sasa utakuwa wakat muafaka kupiga miayo na kurudi kwa mabwana zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wale muliodhani munafahamu uzima wa afya ya akili ya LIssu, sasa ndo mutafahamu uelekeo wa siasa za upinzani.
 
Back
Top Bottom