Baada ya uchaguzi, Lissu jiandae kuunda chama chako

Yaan mimi Lissu akiunda chama chake najiunga haraka mno
 
Na hivi Tundu anaropoka tu bila kujali kuwa ruzuku safari hii ni ndogo na hiyo hiyo ruzuku Mnyika nae anaikodolea macho, sasa utakuwa wakat muafaka kupiga miayo na kurudi kwa mabwana zake
Tangu upate Bwana Msukuma basi unahisi kila mtu ana Bwana
 
Lumumba mnabwabwaja sana, ila jueni, mwitikio kule field siyo mwitikio wa nyuma ya keyboard. Wananchi wameamua, nyie mjidangnaye huku na ID zenu kumi kumi
Haya ngoja tuone hapa chini mwitikio uko je boss?
Your browser is not able to display this video.
 
Mnahangaika sana nyie akina Mayanga Construction, Mbowe hana shida wala hapendi kujulikana yeye ndio maana kwa furaha kubwa alimwalika hata aliyekuwa mwana ccm kugombea urais na yeye akakaa pembeni, na amefanya hivyo tena mwaka huu amejiweka pembeni akamwacha mpakwa mafuta wa Bwana, T.A. Lissu, Mbowe ni mtu wa pekee na kiongozi asiye na makuu hata kidogo.
 
Umeingia chaka...
 
Haya ngoja tuone hapa chini mwitikio uko je boss?
View attachment 1581890


Mnasomba kwa malori, fuso, canter, trekta, basi, daladala, na bado mnawalipa, bado mnalazimisha kufunga shule ili wanafunzi wote wajae uwanjani. Mnaishi siasa feki kila kitu feki. Mnashinda humu kupost ili ukalipwe hela ya makande, ndo maisha yenu. Hata wewe unaandika haya kwa sababu unanufaika lakini kimoyo moyo najua unaenda kumpigia kura Lissu
 
Lissu hana hekima ya kuendesha chama cha siasa kwa ufanisi. Mtu anayejiona kujua kila kitu, anayejiona kujua kuliko watu wote, mwenye dharau, hasira, na matusi, kama kamanda msaliti hawezi kuwa kiongozi wa chama. Labda kiwa chama cha mfukoni kama cha zitto.
 
Mkuu Lissu anaweza Literature Keizirege wanaweza kumfikiria, na kwa vile anaweza midahalo itamuongezea sifa.
 
..Lissu anaweza kuandika, kufundisha, na kutoa mihadhara.

..kuna kitabu ameandika cha masuala ya katiba na utawala kitatoka hivi karibuni.
Hizo ndizo kazi anazoweza na ndicho anachotakiwa kufanya. Haya mambo mengine anajidanganya yeye na maZWAZWA yanayomfuata.
 
Mtoa hoja, hayo ni maharage ya wapi?
 
Kumbe na chat na kichaa!!
 
Watanunua Utopolo wenzie hicho kitabu. Huyo chizi aandike kitabu nikisome, si kitakuwa kimejaa matusi
Kwenye orodha ya Mburula waliokupa kama angekuwemo John yaani John mwenye akili....!!
 
Mimi namshauri asiunde chama, bali aende akafanye ka kazi atakakopangiwa na Rais Magufuli kama Ukatibu Tarafa!
 
Lissu angekua wa hivyo angeshaunga juhudi ili kujilinda, Lakini hajaunga juhudi maana anajua alipo ni mahali sahihi.
 
..Lissu anaweza kuandika, kufundisha, na kutoa mihadhara.

..kuna kitabu ameandika cha masuala ya katiba na utawala kitatoka hivi karibuni.
Wa-TZ tangu lini tukasoma vitabu kumuwezesha mtunzi kunufaika? Sisi tunasoma magazeti na hasa ukurasa wa mwisho. Hata hivyo wapo magwiji walioandika vitabu vya maana kuliko yeye na haviuziki kiasi hicho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…