Pre GE2025 Baada ya uchaguzi, Lissu tunaomba umpeleke Mbowe Takukuru kuhusu fuko la Abdul?

Pre GE2025 Baada ya uchaguzi, Lissu tunaomba umpeleke Mbowe Takukuru kuhusu fuko la Abdul?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Fuko la Abdul kila lilikopita mitaa ya Chadema lilipokelewa kwa mikono miwili isipokuwa kwa gwiji la upinzani Afrika.
Lissu ndio mtanzania pekee hapo Chadema aliletewa mfuko umejaa mamilioni kama sio mabilioni sebuleni kwake na akaamua kuyakataa. Na ushahidi wa cctv upo.

Baada ya uchaguzi kumalizika, tunaomba Mbowe, Mnyika, Bonny Yai, Wenye, Abdul mwenyewe tunaomba wote wafikishwe mahali husika, Chadema tumeijengq kwa Jasho na damu, hatuwezi kuruhusu rushwa kukwamisha harakati kizembe kiasi hicho.
 
Lissu alikataa hela za Mwarabu ili ashirikiane kuuza Nchi.
Hadi akapigwa vijembe kuwa yule Simba machachari wa Kizimkazi "asiyetulia" ni kama Tundu Lissu.

Mungu mbariki Lissu.
 
Back
Top Bottom