Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Ninavyomjua Lissu, Samia kama anategemea maridhiano umekula kwakeMaridhiano ni Sasa kabla ya uchaguzi
Na Samia atatamani sana hand shake na Lissu Ili kujisafisha kimataifa na kitaifaMaridhiano ni Sasa kabla ya uchaguzi
Hahahaha lets wait the outcomes from ma NIGGA LISSU!!!Tanzania Kuna vituko hatari. Samia na Nchimbi walisikika wakisema ndani ya siku 100 baada ya kuchaguliwa wataunda tume ya upatanishi na maridhiano.
Ninavyoelewa maridhiano ufanyika kipindi ambacho pande zote mbili zimeumia. Sasa Samia na CCM wameumia Nini Hadi watangaze maridhiano?
Na je wanataka waridhiane na nani?
Je hao wanaotaka kuridhiana nao wakigoma hiyo tume itakuwa na kazi Gani?
Mto wa Mbu,
Athens-Ugiriki.
Na Lissu ndo Tary ya MaridhianoHahahaha lets wait the outcomes from ma NIGGA LISSU!!!
CCM mataperi saaaaa aWatu hawahitaji maridhiano ya kinafiki, bali wanahitaji mifumo ya haki. Wanahitaji mifumo itakayozuia CCM na watawala kuwateka na kuwaua wanaomkosoa rais.
Matidhiano ni upuuxi. Hayo maridhiano yatamrudisha Ali Kibao, Soka au Mdude. Tunahitaji haki itakayowezesha watekaji na wauaji wote kukamatwa na kushtakiwa kwente mahakama huru zinazozingatia haki.
Wananchi wanahitaji mifumo itakayowezesha Rais kushtakiwa kama akiwafanyia wananchi uharamia.
Tanzania Kuna vituko hatari. Samia na Nchimbi walisikika wakisema ndani ya siku 100 baada ya kuchaguliwa wataunda tume ya upatanishi na maridhiano.
Ninavyoelewa maridhiano ufanyika kipindi ambacho pande zote mbili zimeumia. Sasa Samia na CCM wameumia Nini Hadi watangaze maridhiano?
Na je wanataka waridhiane na nani?
Je hao wanaotaka kuridhiana nao wakigoma hiyo tume itakuwa na kazi Gani?
Mto wa Mbu,
Athens-Ugiriki.
Serikali ya kijambaziYaani uteke, utese,upoteze, uue wanachama wa Chadema, uvuruge chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, ujitangazie ushinda bandia halafu utuite turidhiane, huo ni wendawazimu kabisa. Lolote baya limpate kabla hajajitangaza kuwa ni mshindi.
kah! Mjuba hii kaliYaani uteke, utese,upoteze, uue wanachama wa Chadema, uvuruge chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, ujitangazie ushinda bandia halafu utuite turidhiane, huo ni wendawazimu kabisa. Lolote baya limpate kabla hajajitangaza kuwa ni mshindi.
sikilizeni wajuba, lissu akiitwa kuridhiana asikatae, aende tu wakayajengeMaridhiano ya kitapeli na mafisadi Lissu akatae kabisa.