GE2025 Baada ya Uchaguzi Samia Suluhu anataka kuridhiana na nani?

GE2025 Baada ya Uchaguzi Samia Suluhu anataka kuridhiana na nani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Inashangaza, walisema nchi Iko sawa, hakuna tatizo, mambo Yako shwari. Sasa Leo wanasema maridhiano, maradhiano ya Nini Sasa na mambo Yako shwari tu?
 
Back
Top Bottom