johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ni ushauri tu Uchaguzi umekwisha na maisha inabidi yaendelee huku kasi ya kujiletea maendeleo ikiongezeka.
Rais Magufuli alisema hatafanya teuzi mpya kwa maRC, maDC, Wakurugenzi nk nami nakubaliana naye kwa 100% ila namwomba kwa Wakurugenzi angewabadilishia vituo vya kazi ili kuongeza kasi ya maendeleo.
Nawatakia maandalizi mema ya Dominica ya Bwana.
Maendeleo hayana vyama!