Wanachoma nyumba zao moto ili wajengewe mpya. Waache upuuzi kabisa. Tena ni zamu yao kutulia.Samahani mkuu, wewe ni DED wa wapi..??
Poleni kwa kuunguliwa na nyumba
Mnalijua leo hili? Watu tulijua hili zamani ila sasa tumeelewa kwamba kumbe huwa mambo mengi mnayongea huwa hamumaanishi. Kwa mfano mnasema kazi ya Polisi ni kulinda raia na mali zao...kumbe sio kweli Polisi wa Tanzania kazi yao kubwa ni kulinda viongozi wa CCM na vibaraka wao!Kuchoma moto nyumba ya serikali ni uhujumu uchumi!
Ni ushauri tu uchaguzi umekwisha na maisha inabidi yaendelee huku kasi ya kujiletea maendeleo ikiongezeka.
Rais Magufuli alisema hatafanya teuzi mpya kwa maRC, maDC, Wakurugenzi nk nami nakubaliana naye kwa 100% ila namwomba kwa Wakurugenzi angewabadilishia vituo vya kazi ili kuongeza kasi ya maendeleo.
Nawatakia maandalizi mema ya Dominica ya Bwana.
Maendeleo hayana vyama!
Samahani mkuu, wewe ni DED wa wapi..??
Poleni kwa kuunguliwa na nyumba
Tena bora majina yao yaorodheshwe hapa!Tunajua ma-DED wote ni wezi hata wahamie wapi,ni watachomwa tu,hakuna kuuliza ulikotoka
Hata wakibadilishwa hasira ya Umma watakutana nayo Kule wahamiapo Kwani wote walifanya ufirauni !!MaDED wanaongeza kasi gani ya maendeleo? Hawa walikuwa wachafuzi wa uchaguzi mkuu Tanzania nzima. Wabaki vituo vyao hivyohivyo ili nguvu ya umma iwashukie kila mmoja kwa wakati wake. Mambo yameshaanzia Meatu.
Inategemea ni Serikali ya awamu ya ngapi !!Kuchoma moto nyumba ya serikali ni uhujumu uchumi!
Elewa. Nyumba iliyochomwa moto Meatu si ya serikali. Ni nyumba binafsi.Kuchoma moto nyumba ya serikali ni uhujumu uchumi!
good question!Mahera ahamishiwe wapi, vile?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi wa huku Mbwinde tunauliza tu nyumba ya mkurugenzi iko wapi halafu inapigwa Moto. Hatui na wala hatuelewi kama ni amebadilishwa
Umeshapanic!Mada za kipuuzi kama hizi ni kawaida yako.
Badala yake ungeshauri kila mkurugenzi ajengewe kituo cha polisi nyumbani kwake. Kwa kufanya hivyo hata wewe ungepata kazi inayoeleweka ya kukupatia kipato halali, badala ya kushinda kutwa kucha JF ukijaza mabandiko yasiyo na mantiki yoyote.
mnashida IPI hadi muhamishwe?Ni ushauri tu Uchaguzi umekwisha na maisha inabidi yaendelee huku kasi ya kujiletea maendeleo ikiongezeka.
Rais Magufuli alisema hatafanya teuzi mpya kwa maRC, maDC, Wakurugenzi nk nami nakubaliana naye kwa 100% ila namwomba kwa Wakurugenzi angewabadilishia vituo vya kazi ili kuongeza kasi ya maendeleo.
Nawatakia maandalizi mema ya Dominica ya Bwana.
Maendeleo hayana vyama!