johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Huyo ni TEDSamahani mkuu, wewe ni DED wa wapi..??
Poleni kwa kuunguliwa na nyumba
Kama sio DASHuyo ni TED
Anazuga Eti Kuongeza Kasi Ya Maendeleo?🤨😑Umeliona hili, unahofu ya nyumba zao kuchomwa moto?
Huyo atakuwa UVCCM tu kaamua kubeba majukumu ya kina faizafoxy rejao maraliasugu n.kKama sio DAS
KabisaMwizi akishaiba huwa anaenda mtaa wa mbali kula mawindo yake
Anajifanya Anatoa UshauriHuyo atakuwa uvccm tu kaamua kubeba majukumu ya kina faizafoxy rejao maraliasugu n.k
Mimi ni mstaafu manka!Naona unataka hiyo hela ya transfer ndio ulipie ada za watoto January.
Kuchoma moto nyumba ya serikali ni uhujumu uchumi!MaDED wanaongeza kasi gani ya maendeleo? Hawa walikuwa wachafuzi wa uchaguzi mkuu Tanzania nzima. Wabaki vituo vyao hivyohivyo ili nguvu ya umma iwashukie kila mmoja kwa wakati wake. Mambo yameshaanzia Meatu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anazuga Eti Kuongeza Kasi Ya Maendeleo?[emoji2955][emoji58]
Kila Mtu Ashinde Mechi Zake!!!