Baada ya Uchaguzi Wakurugenzi wangebadilishwa vituo vyao vya kazi

Kuchoma moto nyumba ya serikali ni uhujumu uchumi!
Mnalijua leo hili? Watu tulijua hili zamani ila sasa tumeelewa kwamba kumbe huwa mambo mengi mnayongea huwa hamumaanishi. Kwa mfano mnasema kazi ya Polisi ni kulinda raia na mali zao...kumbe sio kweli Polisi wa Tanzania kazi yao kubwa ni kulinda viongozi wa CCM na vibaraka wao!
Tutaelewana tu mbona!
 
Angalau leo umekiri kuwa CCM iliiba uchaguzi kupitia kwa ma-DED.
Waache tu wavune walichopanda. Hata wakihamishwa, watajulikana. Ma-DED ambao hawauhusiki ni 4 tu. Tunawajua kwa majina kabisa.
 
MaDED wanaongeza kasi gani ya maendeleo? Hawa walikuwa wachafuzi wa uchaguzi mkuu Tanzania nzima. Wabaki vituo vyao hivyohivyo ili nguvu ya umma iwashukie kila mmoja kwa wakati wake. Mambo yameshaanzia Meatu.
Hata wakibadilishwa hasira ya Umma watakutana nayo Kule wahamiapo Kwani wote walifanya ufirauni !!
 
Siyo baada ya Uchaguzi..sema baada UCHAFUZI wa kura.....
 
Mada za kipuuzi kama hizi ni kawaida yako.

Badala yake ungeshauri kila Mkurugenzi ajengewe kituo cha Polisi nyumbani kwake. Kwa kufanya hivyo hata wewe ungepata kazi inayoeleweka ya kukupatia kipato halali, badala ya kushinda kutwa kucha JF ukijaza mabandiko yasiyo na mantiki yoyote.
 
Sisi wa huku Mbwinde tunauliza tu nyumba ya mkurugenzi iko wapi halafu inapigwa Moto. Hatui na wala hatuelewi kama ni amebadilishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeshapanic!

Kazi ya kushughulika na vibaka wa kisiasa itafanywa na UVCCM, polisi wana majukumu mazito ya kulinda uchumi wa nchi na raia wema!
 
mnashida IPI hadi muhamishwe?
Nawasikia many o ssm wakiomba hilo
Kunyweni não mlio waandalia kalamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…