Omusolopogasi JF-Expert Member Joined Aug 31, 2017 Posts 7,101 Reaction score 18,085 Nov 14, 2020 #41 Watawahamishia nchi gani? Kama ni hapa Tanzania, ni ma-DED 4 tu ambao hawakuhusika. Na hao 4 wanajulikana kwa sura na majina. Ramark said: mnashida IPI hadi muhamishwe? Nawasikia many o ssm wakiomba hilo Kunyweni não mlio waandalia kalamu. Click to expand...
Watawahamishia nchi gani? Kama ni hapa Tanzania, ni ma-DED 4 tu ambao hawakuhusika. Na hao 4 wanajulikana kwa sura na majina. Ramark said: mnashida IPI hadi muhamishwe? Nawasikia many o ssm wakiomba hilo Kunyweni não mlio waandalia kalamu. Click to expand...
K KalamuTena JF-Expert Member Joined Jul 7, 2018 Posts 13,181 Reaction score 17,187 Nov 14, 2020 #42 johnthebaptist said: Umeshapanic! Kazi ya kushughulika na vibaka wa kisiasa itafanywa na UVCCM, polisi wana majukumu mazito ya kulinda uchumi wa nchi na raia wema! Click to expand... Bila bunduki, au sasa mtawapa bunduki ili washughulikie unaowaita vibaka? Mbona hata raundi haipiti kabla hamjalizwa? Jaribu uone cha mtema kuni.
johnthebaptist said: Umeshapanic! Kazi ya kushughulika na vibaka wa kisiasa itafanywa na UVCCM, polisi wana majukumu mazito ya kulinda uchumi wa nchi na raia wema! Click to expand... Bila bunduki, au sasa mtawapa bunduki ili washughulikie unaowaita vibaka? Mbona hata raundi haipiti kabla hamjalizwa? Jaribu uone cha mtema kuni.
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,515 Nov 14, 2020 #43 Domhome said: Inategemea ni Serikali ya awamu ya ngapi !! Click to expand... [emoji23][emoji23]