MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Hii inampunguzia nn?Pascal, wewe ndie ulienifanya mimi nikajiunga JF na nlikuwa nakuheshimu sana. Ila natangaza tena kama nlivyowahi kutangaza hapo kabla, sikuheshimu kamwe na nlidhani kweli wewe ni mtu Bora ila hufai kutokana na mengi uliyoyaandika humu.
Watanzania mna vichwa vibovu Sana , Una ushahidi gan anahusika....?? Ifikie hatua kila mmoja apambane na Hali yake na sio kujibanza kwa mtuNi ukweli upi tumeujua mzee? Ni mpuuzi na mpumbavu tu ndie atakaeamini mashtaka ya Eric. Ukweli unajulikana na hata watoto wadogo wanalijua hilo. Unahusika na tabu zote alizopitia Eric hata kama ni kwa asilimia 0.1
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unanikumbusha nilivyokuwa naisubiri siku ya Lowassa kuweka wazi jinsi alivyoibiwa kura zake, kuja kushtuka amerudi CCM ndio nikashtuka kuwa nilikuwa naota!Siku yaja na haiko mbali ukweli uliopo chini ya kapeti kuhusu sakata la EK utawekwa peupe peeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Paskali muombe radhi Kabendera, kuachiwa kwake huru jana hakumaanishi kwamba wewe hukuhusika, ulichoandika hapo juu ni porojo tu.