Tetesi: Baada ya upepo wa Mahakama kuwakalia vibaya: Lipumba, Sakaya na Kambaya kuhamia CCM muda wowote

Tetesi: Baada ya upepo wa Mahakama kuwakalia vibaya: Lipumba, Sakaya na Kambaya kuhamia CCM muda wowote

Kwa hiyo makusanyo ya kodi ndo yanapelekwa huko? nchi hii haitaendelea nikiwa hai
 
Kwa hiyo makusanyo ya kodi ndo yanapelekwa huko? nchi hii haitaendelea nikiwa hai
Kulikuwa na mkakati uliopangwa kishamba wa kudanganya watanzania kwamba Magufuli anakubalika , sasa ilipangwa kabla ya january kila aliyelipwa awe ametangaza kuhamia ccm
 
Hii biashara ya kununuliwa na CCM inaelekea inalipa sana??[emoji2] [emoji2]
794752ca6c7415900273a27db9402153.jpg

Maoni ya mdau kutoka Instagram
 
Lipumba kuhama ni ngumu,anatakiwa aendelee kuleta mgogoro ndani ya cuf.kwa hiyo kuhama sithani kma ni rahisi.
Ukishakula hela ya watu lazima ufuate makubaliano , kila anachofanya lipumba anaelekezwa na ccm , sasa hao ndio wamemlazimisha baada ya Mahakama kuweka msimamo , si yote tunaweza kuyaandika hapa mkuu .
 
Cuf na Chadema ndo mwisho wenu
Chadema aliondoka zitto slaa arfi na naibu katibu mkuu zenji chama hakikufa sembuse hawa sisimizi???

Wacha waende btw tupo mamilioni tutajichaguwa wengine kuwa viongozi ila chadema haifi leo wala kesho maana mlishajaribu sana kuanzia udini mkaja ugaidi mkaja ukanda mkaja ukabila ila mmefeli mtaweza kwa cuf na nccr ila chadema hamtokaa muweze
 
Kwa hiyo Lipumba akihamia CCM ndio ataenda kukifuta chama au?!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa hiyo Lipumba akihamia CCM ndio ataenda kukifuta chama au?!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lengo la Lipumba ni kuwalia hela yao ccm tu , anajua kabisa cuf haiwezi .
 
Back
Top Bottom